Halloween Costume ideas 2015
Latest Post


  Jina la hadithi. : SHANGAZI II

Sehemu ya : KUMI NA TATU (13)

Mwandishi : Aslam Khan

mawasiliano : +255 (0) 627 676 104 

aslamstorymail@gmail.com

aslamstory.wordpress.com



Ilipoishia...

“VIPI MPENZI, UMEFIKA SALAMA, NAONA NAKUPIGIA SIMU HAUPOKEI, NATAKA NIKWAMBIE KUWA NAWEKA MAMBO YANGU VIZURI NA KARIBUNI NITAKUJA HUKO, SIWEZI KUISHI PEKE YANGU ABDAM, SIWEZI KABISA, NAKUPENDA SANA!” Ilikuwa meseji kutoka kwa Husna. Nilipanga nitaenda kuiijibu pindi nitakapokuwa nimetulia kwa mjomba. Niliifungua meseji ya pili.

“EBWANA ABDAM, ASHA ALITAKA KUJINYONGA, HIVYO AMELAZWA HOSPITALI, HAJITAMBUI!”  ilikuwa meseji kutoka kwa Thomas ama Tom kama tulivyozoea kumuita. Yeye sikutaka kabisa kumjibu meseji yake na mpenzi wake, Asha.

“ANGALIA MBELE ABDAM USIJE UKAMWAGA BIASHARA ZA WATU, NAJUA UNANITAFUTA, MIMI NAKUONA. HUWEZI KUNIONA MAANA NIPO NDANI YA GARI LENYE VIOO VYEUSI. UKWELI NINA HISIA NAWE, NA NITAKUTAFUTA……!” Meseji ya mwisho ilikuwa inatoka kwa Tunda.

Endelea…


“sasa ngoja tupitie sokoni tuchukue matunda, maana najua wewe unapenda sana wali ukiwa na maembe dodo pembeni” mjomba aliniambia

“hahaha sawa mjomba!”

Tulienda sokoni na kuchukua matunda mchanganyiko. Kisha tukaenda sehemu ambayo aliegesha usafiri wake. 

“mjomba, hapa ndipo ninapofanya kazi zangu, eneo hili ndilo linaloitwa sabasaba. Ukipita hapo kwenye kibarabara hapo, utakutana na uwanja mkubwa na mkono wa kushoto kuna shule ya sekondari!” aliniambia huku akinielekeza kwa mkono.

“ooh sawa!”

Baada ya kuongea maneno mawili matatu na wenzake, tulianza safari ya kwenda Nkanaledi. Tuliifuata barabara ya lami inayoelekea Mikindani. Tuliteremka mlima ambapo mjomba aliniambia kuwa eneo hilo linaitwa Magomeni. Moja kwa moja tukanyoosha kama umbali wa mita mia tatu hivi, tukapita kwenye barabara ya vumbi iliyoelekea upande wetu wa kushoto. Baada ya kama nusu saa hivi, tuliwasili nyumbani kwa mwenyeji wangu, nyumbani kwa mjomba. Tulimkuta shangazi akiwa ameshaandaa chakula mezani. Nilipomuona shangazi, alikuwa mrembo zaidi ya yule ambaye nilimuona kwenye ndoto. Ila umri wake ulikuwa mkubwa kidogo. 

“karibuni…!” alisema shangazi mara alipotuona.

“ahsante sana…!” niliitikia.

“mjomba hapa ndo nyumbani, karibu sana!” alisema mjomba.

“ahsante sana mjomba!”

Shangazi alichukua maembe mawili na kuyamenya haraka haraka na kuyakata kata vipande vidogo vidogo. Kisha akayaweka katika sahani na kuyaleta mezani.

“karibuni chakula…!” alisema shangazi na kuchukua maji na kumnawisha mjomba mikono kisha kuja kwangu.

“aaah mie nitanawa mwenyewe…!” nilimwambia shangazi huku nikimuangalia usoni hali iliyomfanya shangazi atabasamu na kufanya sehemu za mashavu yake kubonyea kwa ndani na kusababisha uzuri wake kuonekana mara dufu. Nilichukua maji na kunawa mikono yangu na kuanza kula. Tulipomaliza kula, vyombo viliondolewa na nikabakia na mjomba tukiongea mambo kadhaa kuhusu safari yangu. Baadae niliomba kupumzika na shangazi alinionyesha chumba changu nitakachoweza kupumzika.  Niliingia chumbani na kujilaza kitandani huku nikisubiria kuona kama kuna ujumbe wowote ambao ungeingia katika simu yangu. Nilisubiria mpaka nikapitiwa na usingizi, hakuna ujumbe wowote ambao uliingia katika simu yangu. 

“mjomba… mjomba.. Abdam!” nilistushwa na sauti ya mjoma aliyekuwa ananiamsha, sikujua ilikuwa saa ngapi, ila giza tayari lilishaingia. 

“naam nakuja!” nilijibu kiuchovu kutokana na usingizi uliotokana na safari. 

“njoo uoge bwana mjomba!” alisema mjomba. 

“nakuja mjomba!” nilijibu huku nikiinuka kutoka kitandani. Nilichukua nguo zangu na kuzivaa kisha kutoka nje. 

“maji tayari yapo bafuni!” shangazi aliniambia

“sawa shangazi!” nilijibu huku nikiongoza kuelekea bafuni. 

Nilipofika bafuni, nilivua nguo zangu zote na kuanza kujimwagia maji taratibu, maji ya vuguvugu. Niliulowanisha mwili wangu wote na kujisungua vizuri huku sabuni ikifuatia. Baada ya kumaliza kuoga, nilielekea sebuleni ambapo nilimkuta mjomba na shangazi wakiwa wananisubiria. Niliungana nao, ambapo shangazi alienda kuchukua chakula na kukileta pale sebuleni na kuanza kula. 

“Abdam, mbona umekuwa mnyonge hivyo, haujapapenda hapa?” mjomba aliniuliza.

“hahah hamna mjomba, labda huu uchovu wa safari niliokuwa nao!” nilijibu huku nikijichekesha!.

“sasa itakuwaje hapa nyumbani, manake kesho inabidi niondoke niende Msumbiji kesho ambapo nitarudi baada ya kama wiki hivi, si ndo utakuwa kama kinda la ndege aliyelowana na maji!” mjomba alinitania.

“Msumbiji, kwani sio mbali kutokea hapa?”

“Hapana, sio mbali. Wenzangu walienda tangu juzi, mimi nimeomba kwenda kesho kwa sababu yako, ili nije kukupokea kwanza!” alisema mjomba.

“aha, kwa hiyo kesho unaondoka?”

“ndio, ila tutawasiliana!” alijibu mjomba. 

“sawa mjomba…” nilimjibu. Tuliendelea kuongea mambo mengi mpaka tulipomaliza chakula. Baada ya kumaliza kula, shangazi aliondoa vyombo huku akiniacha mimi na mjomba tukiwa bado tunaendelea kuongea. Tuliongea sana na mjomba mpaka saa saba ya usiku, wakati huo shangazi alishatangulia chumbani. Ulipofikia muda huo, niliagana na mjomba na kwenda chumbani kwangu, kulala. Kabla sijalala, niliichukua simu yangu ambayo ilikuwa na simu nyingi nilizozikosa. Nilipoangalia kwa makini, walikuwa watu wanne tu. Nilikata shauri, ningeweza kuwasiliana nao siku inayofuata. Baada ya hapo, nilivua nguo zangu na kuanza kuutafuta usingizi ndani ya mkoa wa Mtwara. Ulikuwa ni usingizi mororo, uliosindikizwa na ndoto za kufurahisha, kuhuzunisha na za kutisha. 

Nilikurupuka kitandani asubuhi, niliikimbilia simu yangu na kuangalia saa, ilikuwa ni saa sita kasoro ya asubuhi. 

“heeh!” nilitahamaki na kutoka nje ili kwenda njooni maana haja ndogo ilikuwa imenibana sana. Nilikuwa nimevaa bukta nyepesi isiyokuwa na nguo yeyote ile. Kutokana na haja ndogo kujaa kwenye kibofu cha mkojo, uume wangu ulikuwa umesimama. Hivyo ndivyo ilivyo kwa mwanaume yeyote aliye kamili, ukiamka na mwenzako anaamka. Ukiona mwenzako amelala, basi jichunguze kwanza. Kutokana na haraka yangu ya kukimbilia chooni, nilijikuta nagongana na Shangazi aliyekuwa anatoka bafuni kuusafisha mwili wake mara baada ya kumaliza kazi zake zote. Tulipogongana, ilisababisha chupi yake aliyokuwa ameishika mkononi kuanguka na taulo kumvuka. Alibakia uchi. Nilijikuta nikiokota chupi yake na kumpatia wakati uume wangu ukiwa umezidi kusimama zaidi. Aliokota taulo lake na kupokea chupi yake.

“samahani…” nilisema kwa sauti ndogo. 

“usijali, hamna shida. Najua kama ni bahati mbaya tu!” alisema shangazi na kunishika begani. Wakati anaushusha mkono wake begani, ulipiga katika uume wangu kwa bahati mbaya. 

“mmmh…!” shangazi aliguna na kuyahamishia macho yake katika uume wangu. 

“vipi?” niliuliza

“haujaumia?, sijakuumiza kweli?” shangazi aliniuliza huku nikiushuhudia mkono wake ukiishusha bukta yangu. 

“shangazi, sijaumia!” nilisema haraka haraka mara baada ya kukumbuka kuwa niliwahi kuota nachinjwa na mjomba. Lakini tayari uume wangu uliosimama ulikuwa nje na maji maji ya uterezi kama kamasi yalikuwa yanadondoka. Nilimuona shangazi akiyafuta yale maji na kuyapaka kwenye kichwa cha uume wangu na kusugua sugua. Nilijikuta napata msisimko mkubwa na kutamani penzi. Kadri alivyokuwa anasugua, ndivyo uume ulivyozidi kuwa mgumu sana na kutawaliwa na misuli kila upande. Shangazi alijisahau mpaka taulo likamdondoka tena. 

“mmmh… samahani!” alisema shangazi na kuokota taulo kisha kulifunga kiunoni na kuondoka kwenda chumbani kwake. Hapo ndipo akili ikanijia kuwa ninapaswa kwenda chooni. Nilipofika chooni, haja haikutoka mara moja, ilibidi nisubiri kwa muda kidogo ndipo ilipokuja kutoka mara baada ya misuli kurudi kwenye hali yake ya kawaida. 

Nilipomaliza, nilioga kabisa huku akili ya kuhitaji penzi ikiwa imetawala kichwa changu. Nilipomaliza, nilienda sebuleni kunywa chai. 

“mjomba ameshaondoka?” nilimuuliza shangazi ambaye nilimkuta sebuleni akiwa ananisubiri tunywe chai. 

“ndio Abdam, ameondoka tangu alfajiri!” 

“Duh, sawa!” 

“vipi?”

“hamna kitu shangazi!”

Nilikunywa chai haraka haraka na nilipomaliza, nikaenda chombani kwangu kumtafuta Tunda. 

“HABARI YA KWAKO TUNDA!”

“SALAMA, KARIBU MTWARA!”

“HAHAHA AHSANTE SANA TUNDA, UNAJUA MIMI MGENI, SINA HATA WA KUNITEMBEZA TEMBEZA!”

“AAAH WENYEJI WAKO WAPO WAPI?”

“NIPO NA SHANGAZI TU, MJOMBA HAYUPO!”

“POLE SANA ABDAM!”

“AHSANTE, MIE NATAKA UNITEMBEZE TEMBEZE WEWE UNANIPA POLE TENA”  niliongea kwa mtego. 

“HAHAHAH NAKUTEMBEZAJE SASA!”

“USIJIFANYE MTOTO TUNDA, NAKUOMBA KESHO NJOO UNICHIKUE UKANITEMBEZE TEMBEZE!”

“SUBIRI KWANZA, HAPO ULIPO PANAITWAJE?”

“AAAH NGOJA NIKAMUULIZE SHANGAZI KWANZA!” nilimjibu na kutoka kwenda kwa shangazi ili kumuuliza. 

“Samahani shangazi, eti hapa panaitwaje?” nilimuuliza shangazi ambaye bado alikuwa yupo sebuleni. 

“panaitwa Nkanaledi, vipi umeshaanza kupata marafiki nini?”

“mmoja tu, kuna mtu nilikutana nae kwenye gari, yeyebni mwenyeji huku kwa hiyo nilitaka aje kunitembelea kesho!”

“nawajua vijana nyinyi, sio kukutembelea tu, bali kuna na mambo mengine, wewe nifiche tu ila mimi nimeshajua, mimi mtu mzima bwana!” alisema shangazi huku akiwa anatabasamu.

“hamna shangazi, kwanza mie mwenyewe ni mgeni!”

“hahaha mgeni wa nini, aah ila mwambie namkaribisha sana,huyo ni mkwe wangu huyo!”

“hamna bhana!”

“mwambie namkaribisha”

“sawa shangazi, ila ni rafiki yangu tu!” nilimjibu shangazi na kumtumia ujumbe mfupi wa maneno Tunda. Tulichat sana na kukubaliana kuwa siku ya pili tungeonana. Akili yangu ilipanga pindi atakapokuja, lazima nipate penzi lake. Nikiwa kwenye mawazo ya kulitamani penzi la Tunda, nilisikia sauti za mahaba kutoka nje ya chumba changu. Ndani ya nyumba. Zilikuwa zinanitesa sana. Niliamua kutoka mpaka sebuleni  ili kujua ni nani huyo… 

Je nani anayetoa sauti za mahaba? 

Na je wazo la kupata penzi kutoka kwa Tunda, litafanikiwa? 

Usikose sehemu inayofuata. 

Coming   up : NAJUTA KUSOMA HADITHI ZA KALE SEHEMU YA TANO. 


 Jina la hadithi. : SHANGAZI II

Sehemu ya : KUMI NA MBILI (12)

Mwandishi : Aslam Khan

mawasiliano : +255 (0) 627 676 104 

aslamstorymail@gmail.com

aslamstory.wordpress.com



Ilipoishia...


"Hamna kitu, unataka tuwe tunachat?"

"Wewe tu, sio mbaya!"

"Sawa!" Nilijibu huku nikifikiria neno la kuanza nalo. Nilitafakari kwa muda, mara simu yangu ikatoa sauti tena.

"NIAMBIE, MBONA KIMYA!" Meseji kutoka kwa Tunda ilisomeka.

"TUNDA...!"

"ABEE!"

"WEWE NI MZURI SANA!" Nilimtumia meseji iliyomfanya Tunda kuguna.

"Wewe!" Nilisikia maneno yakiwa yamemtoka Tunda. Nilianza kuwa na wasi wasi.

"HIVI NIKUULIZE?" Tunda alinitumia meseji hiyo

Endelea nayo…


“NIULIZE TU TUNDA”  nilimjibu kwa njia ile ile ya meseji

“AAH AU BASI” Tunda alinitumia meseji. 

“NIULIZE TU JAMANI!” nilimtumia meseji kwa shauku ya kutaka kufahamu alitaka kuniuliza kuhusu kitu gani. 

“BASI SUBIRI, NITAKUULIZA TUKITOKA KULA, SI UNAJUA TUMESHAFIKA NANGURUKULU” Tuna alinitumia meseji

“SAWA!” sikuwa na jinsi zaidi ya kukubali tu kile alichoiniambia. 

Tulikaa kwa takribani dakika kumi na tano pasi na mtu yeyote umsemesha mwenzake mpaka tulipofika katika mji wa NANGURUKULU m ji ambao kwa magari yote ya abiria yaendayo katika mikoa ya kusini mwa Tanzania huweka kituo cha muda ili kuwapa nafasi abiria wao kupata chakula. 

“vipi hauendi kula?”  Tunda aliniuliza

“nitaenda labda kujisaidia tu” nilisema huku nikiipigia mahesabu kiasi kidogo cha pesa kije kunisaidia katika siku zinazofuata.

“kujisaidia kila mmoja ataenda, nazungumzia kwenda kula chakula” Tunda alisisitiza

“huo ni mtihani sasa!” nilisema

“kivipi”

“yaani hapo ni sawa na kwenda kujisaidia pale unapokwenda kujisaidia wewe!” nilisema.

“kwani kwenda kujisaidia pale ninapokwenda kujisaidia mimi ni vibaya?” Tunda aliniuliza.

“sio vibaya, ila inakuwa ni suala lisilowezekana!”

“hakuna kisichowezekana, na mie nimeshakuelewa kuwa hutaki kwenda kula kwa sababu hauna hela, twende tu, mie nitakununulia ukitakacho!” Tunda alisema kwa kujiamini.

“mmmmmh…..!” niliishia kuguna tu. Niliongozana na Tunda mpaka kwenye mlango wa choo ambapo niliingia kwenye choo cha kiume na yeye kuingia katika choo cha wanawake. Baada ya muda mfupi kila mmoja alirudi akiwa ameshakidhi haja yake. Kilichofuata ni kwenda sehemu ambayo vyakula huuzwa. Ilitubidi kuchukua vyakula kwenye sehemu maalumu ili kwenda kula ndani ya basi kutokana na muda kuwa mdogo sana. Mimi sikuwa na ubavu wa kuagiza chakula change kutokana na chakula chenyewe ninanunuliwa, hivyo niliona hata aibu. Tunda aliagiza niwekewe chipsi kavu pamoja na kuku nusu. Tulifungasha vyakula vyetu mpaka ndani ya gari na kuanza kula taratibu huku stori za uongo na kweli zikiwa zinasindikiza mlo wetu. Muda mchache tangu tulipoanza kula, gari lilianza kuondoka katika eneo la Nangurukulu na kushika njia inayoelekea Kilwa kilanjelanje mpaka somanga. Kwa stori tulizokuwa tunaongea, ungetukuta, ungeweza kusema kuwa tulikuwa tunafahamiana kwa kipindi kirefu.baada ya kumaliza kula, kila mmoja alijisafisha kwa tishu na kunywa maji ya kutosha. Hapo nilihisi usingizi ukiwa unaninyemelea kwa mbali. Nilijitahidi nisilale.

“Tunda, kwani bado sana kufika?” nilimuuliza mara baada ya kupita muda mrefu wa safari.

“dah, bado, ndo kwanza tupo Mandawa hapa!” alijibu Tunda

“basi mie nalala kidogo, utaniamsha basi” nilimwambia Tunda.

“mimi mwenyewe nalala, ila nafikiri nitawahi kuamka kabla yako”

“sawa Tunda uniamshe, nisije nikapitishwa!” nilisema

“unaposhuka ndio mwisho wa gari, utapitishwa vipi sasa hahahahaha” alijibu Tunda huku akicheka.

“aaah mie sijui sasa na wewe wanicheka”

“hahahah tulale bhana!” alijibu tunda na kila mmoja akajiweka katika mkao mzuri wa kuutafuta usingizi. Baada ya muda mchache kila mmoja alilala. Sikujua nililala kwa muda gani, ila nilistuka ninaamshwa na Tunda huku mkono wangu ukiwa ndani ya blauzi aliyokuwa ameivaa Tunda. Ulikuwa katika eneo la tumbo lake. Nilistuka sana na kuutoa mkono wangu haraka haraka. Nilimtazama Tunda kwa aibu, nikitamani kumuomba msamaha lakini kutokana na aibu iliyonijaa, nilishindwa kabisa. Haraka haraka niliishika simu yangu na kugeukia dirishani kisha nikaingia upande wa kuandika ujumbe mfupi wa maandishi. Nilitafuta namba ya Tunda.

“SAMAHANI SANA TUNDA!” nilituma ujumbe kwa Tunda huku nikiwa ninasikilizia majibu kutoka kwa Tunda. Baada ya muda simu ya Tunda ilitoa mlio. Aliichukua na kuiangalia kisha akaniangalia na kutabasamu.

“ABDAM, UNA MPENZI KWANI?” ndio lililokuwa jibu la Tunda.

“KWA NINI WANIULIZA HIVYO?” nilijibu swali kwa swali badala ya swali kwa jibu.

“KWANI HILI NDO JIBU LAKE?” aliuliza. Nilikaa kwa muda nikitafakari nimpe jibu gani. Niliona hakukuwa na haja ya kumdanganya, bora kumwambia ukweli tu.

“NDIO NINAYE!” nilijibu kwa kifupi

”ANAITWA NANI?” aliuliza

“HUSNA!” nilizidi kujibu kwa kifupi  

“ANAKAA WAPI?”  alizidi kuuliza maswali.

“YUPO DAR ES SALAAM!” 

“SAWA!” alijibu kwa kifupi.  Baada ya hapo tulikaa kimya kwa dakika nyingi pasi na mtu kumsemesha mwenzake

“Tunda…!” nilivunja ukimya

“niambie Abdam…!”

“hapa tulipo muda huu ni wapi, maana nimetumiwa ujumbe sasa nashindwa kuwajibu!” 

“ahaa hapa tupo Mchinga, muda si mrefu sana tutaingia katika mkoa wa Lindi”

“aha, sawa ahsante sana!”

“swala hili tu ndo likufanye ushukuru, mbona kuna mengi nyuma hata shukrani haujatoa?”

“aaaah jamani Tunda, samahani sana jamani!”

“achana na hayo, nakutania tu!”

“sawa bhana”

“si unaona hapa, hapa zamani kabla ya barabara kujengwa, huu mlima ntunaoenda kuupanda sasa hivi, ulikuwa na mtindo wa herufi S, basi ajali kila siku zilikuwa zinatokea!” Tunda alisema.

“inaonyesha ni kwa kiasi gani ulivyokuwa mwenyeji….!” Nilitania

“sio sana, maana najua tu historia chache chache za milima ya huku. Tangu zamani mlima huu wa mamba, mlima wa kikwetu au mamburu kwa jina jengine, mlima wa mbanja, mmongo, na ule wa mingoyo ndio iliyokuwa milima ya hatari, achilia ile milima kama unaenda masasi kama nanyamba huko newala!”

“mmmmh mbona kama umeanza kunidanganya tena?”

“hahahah tuachane na hayo Abdam!” alisema Tunda na kunishika katika paja.

“Tunda….!” Niliita.

“ niambie Abdam…!”

“aaah uliponishika, sio mahali sahihi…!” nilisema.

“aaah jamani, hapa tu, mbona maajabu tena!”

“unaona kawaida au, nikikushika wewe utakubali?”

“kwenye paja tu, mbona ni kawaida tu…!”

“kawaida eeeeh, si ndio?”

“ndio….!” Aliitikia Tunda. Niliona anajifanya kichwa maji, niliamua kumkomesha.

“kwa hiyo na mimi nikikushika ni kawaida tu, sio” nilimuuliza kwa kumtega.

“aah ndio…!”

Aliponijibu, nilipeleka mkono wangu mpaka kwenye sketi yake juu ya paja lake. Niliweka mkono wangu juu yake, na taratibu nikaanza kutomasa kutomasa.

“mmmmmmmmmh…..!” nilisikia anaanza kuguna.

“vipi tena Tunda!”

“kwa hiyo umeamua kunikomoa, sio?”

“kwa nini?” nilimuuliza kwa kejeli.

“samahani, naomba uniache!” alisema kwa sauti ndogo naya chini iliyokuwa legevu sana

“basi siku nyengine ukiwa unaambiwa, uwe unasikiliza!”

“usijali Abdam, ila ongera sana”

“ongera ya nini Tunda?”

“subiri nitakuambia… kwa sasa acha kwanza niwasiliane na wenyeji wangu!” alisema Tunda na kushika simu yake. Kuanzia hapo hatukuongea tena mpaka tulipofika katika mkoa wa Mtwara, katika kituo cha gari za abilia. Tulipofika, hata nafasi ya kuagana hatukuipata, kwa sababu muda wote alikuwa yupo bize kweli kweli. Nilishuka kwenye basin a kupokelewa na mjomba. Kila muda nilikuwa naangalia angalia nyuma labda ningeweza kumuona Tunda, lakini sikumuona kabisa. 

“mjomba vipi tena, kuna mtu umekuja nae nini?” mjomba aliniuliza alipoona kila muda nikiwa ninaangalia angalia nyuma.

“hahahahahah hamna mjomba, naangalia angalia tu mji wenu huu!” nilisema.

“sawa, sasa sisi tunakaa NKANALEDI na ndiko tutakapoenda ila baada siku chache zijazo, tutahamia Sabasaba au Chikongola, umenielewa mjomba?”

“aha, sawa!” nilijibu huku niinua simu yangu na kuiangalia.

“aaaah kumbe simu nilitoa mlio, angalia meseji tatu na simu mbili nilizozikosa” nilisema na kuanza kuzifungua meseji.

“VIPI MPENZI, UMEFIKA SALAMA, NAONA NAKUPIGIA SIMU HAUPOKEI, NATAKA NIKWAMBIE KUWA NAWEKA MAMBO YANGU VIZURI NA KARIBUNI NITAKUJA HUKO, SIWEZI KUISHI PEKE YANGU ABDAM, SIWEZI KABISA, NAKUPENDA SANA!” Ilikuwa meseji kutoka kwa Husna. Nilipanga nitaenda kuiijibu pindi nitakapokuwa nimetulia kwa mjomba. Niliifungua meseji ya pili.

“EBWANA ABDAM, ASHA ALITAKA KUJINYONGA, HIVYO AMELAZWA HOSPITALI, HAJITAMBUI!”  ilikuwa meseji kutoka kwa Thomas ama Tom kama tulivyozoea kumuita. Yeye sikutaka kabisa kumjibu meseji yake na mpenzi wake, Asha.

“ANGALIA MBELE ABDAM USIJE UKAMWAGA BIASHARA ZA WATU, NAJUA UNANITAFUTA, MIMI NAKUONA. HUWEZI KUNIONA MAANA NIPO NDANI YA GARI LENYE VIOO VYEUSI. UKWELI NINA HISIA NAWE, NA NITAKUTAFUTA……!” Meseji ya mwisho ilikuwa inatoka kwa Tunda.


Je kipi kitatokea na Tunda?, na je vipi kuhusu Husna kama akisafiri itakuaje na je nini hatma ya Asha?

Usikose sehemu inayofuata.


Jina la hadithi. : SHANGAZI II

Sehemu ya : KUMI NA MOJA (11)

Mwandishi : Aslam Khan

mawasiliano : aslamstorymail@gmail.com

 


Ilipoishia...


Kutoka mpaka kufikia mbagala rangi tatu ilituchukua nusu saa nzima. Tulipofika mbagala, basi liliingia kituoni tena, nikiwa na mawazo mengi, nilistuka mara baada ya kusikia sauti nzuri na nyororo ikiniambia jambo. Sikuelewa anaongea kitu gani, hivyo ikanibidi niinue kichwa changu ili kumuangalia aliyekuwa ananiongelesha. Alikuwa msichana, mwenye weusi wa wastani akiwa anang'aa bara bara, wenyewe wanaitaga black beauty. 

"Sogea kule dirishani, hii ni siti yangu!" Alisema


Endelea...


"Hapa nilipokaa ndio kwenye siti yako?"

"Ndio!"

"Hebu tiketi yako kwanza niione!"

"Hii hapa, si unaona siti namba ishirini na tano hii!"

"Mbona na ya kwangu imeandikwa hivyo hivyo!"

"Tutamuuliza konda, wewe sogea kule nipumzike!"

"Kwani unatoka mbali sana na umechoka?" Nilimuuliza lakini hakunijibu kitu chochote.

Kwa sababu hakunijibu kitu chochote, niliamua kusogea kule kwenye siti ya dirishani. Baada ya muda, basi lilianza kuondoka katika kituo cha Mbagala rangi tatu. Mwendo ulianza kwa kuwa mdogo hasa kutokana na foleni iliyokuwa inapatikana katika barabara ya Kilwa mpaka kufikia eneo la kongowe. Ilituchukua takribani dakika hamsini kutoka katika kituo cha mbagala rangi tatu mpaka kufika kongowe, eneo lililokuwa linatenganisha mkoa wa Dar es salaam na Pwani. Tuliendelea kwenda kwa mwendo wa wastani mpaka tulipofika katika eneo la mwandege, ambapo mwendo ulibadilika na kuwa mwendo wa kasi. Roho yangu ilikuwa ikiomba dua muda wote tufike salama, huku nikiyafaidisha macho yangu kwa kuangalia miti iliyokuwa inakimbizana kwa kurudi nyuma. Tulipofika ikwiriri, basi liliingia kwenye mizani na baada ya kutoka likaenda kuegesha mbele kidogo tukipewa fursa ya kununua chochote kwa dakika zisizozidi tano.

"Nichukulie hindi hapo!" Sauti ya yule binti iliniambia hali iliyonifanya nistuke kwa kujua alitaka nimnunulie mahindi kwa kutumia hela yangu. Ilibidi nimuangalie usoni ili nijue alikuwa anamaanisha kile alichokuwa anakiomngea au lah!.

"Shika hela hii, nichukulie mahindi ya mia tano!" Aliendelea kusema huku akiwa ananipatia hela aliyokuwa ameishika mkononi mwake. Niliichukua na kumpa muuzaji kisha akanipatia kile nilichokuwa nimekihitaji.

"Hili hapa!" Nilimpatia huku nikimuangalia usoni. Alipokea na kuanza kula taratibu. Nilijifanya kujikausha kimya bila ya kuongea nae nikisubiri kama angeweza kuanzisha mazungumzo.

Safari iliendelea mpaka kufika katika daraja la mkapa, la mto rufiji bila ya mtu yeyote kumsemesha mwenzake. Nilichungulia dirishani ili kuyaangalia mazingira mazuri na ya kuvutia yaliyopatikana katika eneo la daraja hili refu.

"Tupo Rufiji eeeh!" Aliuliza huku ajijaribu kuangalia nje kupitia pale dirishani. 

"Ndio, darajani!" Nilijibu huku kwenye moyo wangu nikiwaza kuwa huo ndio ulikuwa wakati sahihi wa kuanzisha mazungumzo.

"Oooh..!"

"Vipi, unaenda wapi wewe?" Nilianza kumuuliza swali huku nikimuangalia usoni, hasa mdomo wake uliojazana na nyama za kutosha.

"Mtwara..!"

"Ooh hata mimi naelekea huko huko, vipi unapajua vizuri!"

"Kivipi, kama kupajua, napajua!"

"Wewe ni mwenyeji wa huko!"

"Kwa kiasi fulani naweza kusema hivyo, ingawa sio mwenyeji sana!"

"Kwa nini?"

"Huku naenda kwa baba mdogo, kutembea tu, ila mara kwa mara huwa nakuja huku kwa hiyo inawezekana kuwa mwenyeji kwa kiasi fulani"

"Aha, na unafikia sehemu gani?"

"Shangani, sijui wewe unafikia wapi?"

"Aah hata sipajui!"

"Hahaha kumbe ni mgeni kabisa, unavyouliza utafikiri kama ni mwenyeji vile, kumbe ni mgeni!"

"Aaah ila nashukuru nimekupata mwenyeji, unaweza kuwa mwenyeji wangu!"

"Nani, mie? Haya!"

"Unaweza kunifahamisha jina lako?"

"Naitwa Tunda!"

"Aaah dah nakumbuka mziki wa muumin mwinjuma nikilisikia jina lako!"

"Mziki gani huo?"

"Unaitwa Tunda kama lilivyojina lako!"

"Huo mziki ni wa zamani eeeh maana mie siujui mziki unaoitwa hivyo!"

"Ndio, zamani sana kabla ya wewe kuzaliwa!"

"Unaonekana mcheshi sana, unaweza kuniimbia kidogo labda kama naufahamu!"

"Sauti yangu mbaya, harafu itakuwa kero kwa abilia wengine, labda...!"

"Labda nini?"

"Labda nikuandikie mashairi yake kwenye meseji!"

"Haya nitumie!"

"Nakutumiaje na namba yako sina jamani!"

"Kumbe ndo unaomba namba kijanja, sio?"

"Hapana bwana, si nakutumia mashairi tu, harafu nakupa simu yangu unaifuta namba yangu!"

"Aha, hapo sawa, andika, sufuri.......tisa....saba....mbili!"

"Sawa, naweza kuisave!"

"Usiihifadhi, si unanitumia mara moja tu kisha unaifuta, usisave bhana!"

"Sawa, ngoja nikuandikie!" Nilimjibu huku nikianza kuandika mashairi ya wimbo wa tunda wa muumin mwinjuma.

"JAMANI TUNDA, NITALIPATAJE TUNDA... TUNDA TAMU TAMU!" Niliandika na kumtumia.

"Mmmmh!" Nilimsikia akiguna, nilimtazama nae alikuwa alitabasamu tu na kuendelea  akakuiinamia kwenye simu yake. Wakati nikiendelea kutafakari, simu yangu ilitoa mlio kuashiria kuna meseji ilikuwa imeingia. Nilifungua na kusoma.

"KWANI NDO IMEISHIA HAPA, ENDELEA BHANA NIMEPENDA!" Ilikuwa ni meseji kutoka kwa Tunda. Nilimuangalia Tunda ambaye alikuwa anatabasamu tu muda wote. Nilianza kujiuliza na kuona hayo mashairi ya mbele nilikuwa ninaelekea kudanganya. Niliwaza ili hata kama kudanganya, nisidanganye sana.

"NILIPOKUWA MDOGO MWENZENU MIMI, NILIKUWA SIJUI NINI MAANA YA MAPENZI, NA HIVI SASA NIMESHAKUWA, NAELEWA NINI KITU KUPENDA, BABY BABY NALIA MIMI, BABY BABY NAHUZUNIKA, NIKIKOSA KUKUONA KWA MUDA WA SIKU MOJA TU, SINA RAHA MWENZAKO, OOH OOH BABY, NAKUPENDA. SI WA KWANZA MIMI KULILIA LAKO PENZI, TOKA ENZI ZILE ZA MABABU ZETU X2, JAMANI BABY NAMPENDA KULIKONI WOTE...!" Niliiandika na kuituma.

"ENDELEA!"

"AAAH JAMANI, NYIMBO YENYEWE NDEFU SANA!" 

"HARAFU UMETUNGA NA MASHAIRI YAKO, SIO HAYA!"

Nilipoisoma ile meseji, nilishindwa hata kujibu kitu

"Vipi, mbona kimya?" Tunda aliniuliza kwa mdomo mara baada ya kuona sijatuma meseji kwa muda mrefu.

"Hamna kitu, unataka tuwe tunachat?"

"Wewe tu, sio mbaya!"

"Sawa!" Nilijibu huku nikifikiria neno la kuanza nalo. Nilitafakari kwa muda, mara simu yangu ikatoa sauti tena.

"NIAMBIE, MBONA KIMYA!" Meseji kutoka kwa Tunda ilisomeka.

"TUNDA...!"

"ABEE!"

"WEWE NI MZURI SANA!" Nilimtumia meseji iliyomfanya Tunda kuguna.

"Wewe!" Nilisikia maneno yakiwa yamemtoka Tunda. Nilianza kuwa na wasi wasi.

"HIVI NIKUULIZE?" Tunda alinitumia meseji hiyo...


Kipi anachotaka kuuliza?


Usikose sehemu inayofuata...


 Jina la hadithi. : SHANGAZI II

Sehemu ya : KUMI (10)

Mwandishi : Aslam Khan

mawasiliano : aslammusamail@gmail.­com

 

Ilipoishia...


Niliingia chumbani kwangu na kwa haraka niliifungua ile keki.

"NAKUPENDA SANA ABDAM!" Yalikuwa ni maneno niliyoyakuta juu ya keki. Pembeni kulikuwa na karatasi iliyoandikwa ujumbe. Niliifunua na kusoma

"ABDAM, KESHO NAENDA KAZINI KUFUATILIA BAADHI YA MIPANGO YANGU. BIKRA YANGU NI MALI YAKO, HIVYO NATARAJIA KUKUPATIA KESHO KUTWA. NAKUPENDA SANA!"

Nilipomaliza kusoma moyo ulinipiga na kujikuta miguu ikifa ganzi. Macho yalinitoka mithili ya mjusi aliyebanwa na mlango.


Endelea...


Nafsi yangu ilikuwa inawaza mambo mawili, nichague kupinga maamuzi ya familia yangu ili kukipata kile alichoniahidi Husna, au nikubali kwenda ili nikose kile nilichoahidiwa. Nilikuwa na mawazo mengi kiasi nilishindwa hata kuyapatia jibu la uhakika. Niliamua kumpigia simu Husna ili kumueleza hali halisi.

"Abdam...!" Sauti ya upande wa pili wa simu iliongea

"Ahsante sana Husna kwa keki!"

"Usijali!"

"Ila pia ahsante kwa ahadi uliyonipatia!"

"Oooh sawa Abdam!"

"Ila kuna tatizo limetokea!"

"Tatizo gani tena?"

"Kesho ninahitajika nisafiri!"

"Kusafiri ndio tatizo sasa?"

"Aaah yaani naenda mkoani, harafu sitarajii kurudi leo wala kesho!"

"Hilo sio tatizo!"

"Tatizo lipo!"

"Lipi?"

"Umeniahidi kesho kutwa kunipatia penzi lako, sasa huoni kama kuna tatizo hapo?"

"Ooh ndio, hilo ni tatizo sasa!"

"Nafikiria hapa nisiende, najua kama nikienda nitalikosa penzi lako, na nitakukosa milele!"

"Unataka kufanyaje?"

"Sitaki kwenda!"

"Sikiliza Abdam, usitake kugombana na wazazi wako eti kwa sababu yangu mimi, wewe nenda!"

"Sikiliza Husna, kama nikienda hiyo kesho, penzi lako nitalikosa!"

"Mimi nitakutunzia, usijali na nakuahidi utakuja kunioa wewe!"

"Aah sawa nitakuoa mie, ila tatizo mimi sitokuwa wa kwanza kupata penzi lako!"

"Wasiwasi wako ni nini mpenzi?"

"Wasiwasi wangu ni kuwa, kuna mwanaume atakuja kuwa wa kwanza kupata penzi lako kabla yangu mimi!"

"Abdam, kumbuka mimi ninajitambua, na mara nyingi sipendi kukhalifu ahadi yangu, kwa hiyo wewe usijali, kila kitu utakikuta kama vile ulivyokiacha!"

"Unataka kunidanganya tu!"

"Unafikiri nakudanganya, mara zote nakuambia jaribu kuwa mvumilivu, usipende kuwa na haraka kama hivyo!"

"Mbona uvumilivu ninao!"

"Sawa, ila hauniamini, hilo ndo tatizo lako kubwa jengine!"

"Nitakuamini vipi wakati unaniambia wewe ni bikra na sijathibitisha, pia unanificha kuhusu kazi yako!"

"Njoo basi tufanye mapenzi ili uamini ninachokuambia!"

"Sasa hivi?"

"Ndio njoo!"

"Nakuja!"

"Hebu acha utoto, jiamini mwenyewe. Lala sasa hivi, ili kesho uwahi hiyo safari yako, mimi nipo utanikuta na nakuahidi kufunga ndoa na wewe hata kama ukija kuoa mwengine!"

"Acha kunidanganya bhana!"

"Sawa kama waona nakudanganya, naomba ulale sasa hivi!"

"Sawa bhana!"

"Usiku mwema Abdam!"

"Na kwako pia!" Nilijibu nikiwa na hasira za kukosa penzi la Husna. Sikukumbuka hata kula ile keki tena, nilivuta shuka yangu na kujifunika kuanzia miguuni mpaka kichwani.

"Abdam...Abdam!" Ilikuwa ni sauti ya baba akiwa ananiamsha. Sikujua ni muda gani ulipita mpaka pale alfajiri ilipofika. Nilikuwa nimelala kwa muda mchache sana.

"Naam..!" Niliitikia nikiwa na uchovu na usingizi mwingi

"Muda huu, hebu amka ujiandae!"

"Sawa baba!" Nilijibu huku nikijilazimisha kuinuka kutoka kitandani. Niliinuka na kutoka nje mkononi nikiwa nimeshika mswaki huku kiunoni nikiwa na taulo. Nilienda nje na kusukutua kichwa na kuoga kisha nikarudi ndani. Niliposhika simu yangu ili kuangalia saa, ilikuwa yapata saa kumi na mbili kasoro. Pia kulikuwa na meseji mbili. Nilifungua ili kuzisoma.

"UNAJUA KUWA UKILIPA DENI LAKO LA TZS 1200 LEO UTAKUWA NA UWEZO WA KUKOPA ZAIDI..." Moja ilikuwa ni meseji ya deni ambalo nilikopa ili kuweka salio kwenye simu yangu. Niliifuta kabisa na kuifungua meseji nyengine.

"NAKUPENDA NA SAMAHANI KAMA NIMEKUUDHI. NIMEJITOLEA KUKUPENDA WEWE, NA NIMEKUAHIDI KUWA NITAOLEWA NAWE. KUTHIBITISHA HILO, KUNA KITU NITAKIFANYA AMBACHO KINAWEZA KUKUSHANGAZA, SIKUAMBII NI KITU GANI, BALI UTAKIONA KWA MACHO YAKO, NDANI YA MWEZI MMOJA TU." Ilikuwa ni meseji kutoka kwa Husna. Niliamua kuihifadhi. Nilivaa nguo zangu na viatu, nilipomaliza kujiandaa ikiwa ni pamoja na kupaka mafuta, manukato na kuziweka nywele kwenye mtindo mzuri, nilitoka nje ya chumba changu. Nilimkuta baba akiwa sebuleni akiwa tayari amejiandaa kwa kunisindikiza kwenda kituoni. Nilitamani hii safari iwe ndoto, kwani mbali na kukosa penzi la Husna, siku kadhaa nyuma niliota ninachinjwa na mjomba mara baada ya kunifumania nikiwa ninafanya mapenzi na mkewe, shangazi. Harafu leo hii ndio ninaenda kwake kiukweli kweli. Sikuwa na jinsi, ilibidi niende tu hivyo hivyo.

"Nipo tayari!" Nilimwambia baba

"Sawa, tuondoke!" Alisema baba na kuendelea

"Chukua hii itakusaidia njiani!" Alisema huku akinipatia noti tatu za elfu kumi kumi ya kitanzania.

"Sawa, ahsante!".

Tulichukua usafiri wa kutupeleka mpaka kituoni. Tulipofika, baba alienda kukata tiketi na nikaingia ndani ya basi. Ilipofika saa moja na nusu, basi ilianza safari ya kuelekea katika mkoa wa mtwara. Watu mbalimbali walikuwa wakiwaaga ndugu na jamaa zao, kati yao alikuwa ni baba ambaye nilikuwa ninaagana nae. Nilikuwa ninaenda kwenye mkoa ambao nilikuwa siufahamu. Basi lilianza safari taratibu kutokana na foleni kubwa ya barabara ya kilwa. Kutoka mpaka kufikia mbagala rangi tatu ilituchukua nusu saa nzima. Tulipofika mbagala, basi liliingia kituoni tena, nikiwa na mawazo mengi, nilistuka mara baada ya kusikia sauti nzuri na nyororo ikiniambia jambo. Sikuelewa anaongea kitu gani, hivyo ikanibidi niinue kichwa changu ili kumuangalia aliyekuwa ananiongelesha. Alikuwa msichana, mwenye weusi wa wastani akiwa anang'aa bara bara, wenyewe wanaitaga black beauty. 

"Sogea kule dirishani, hii ni siti yangu!" Alisema.


Kipi kitaendelea...

Usikose sehemu inayofuata.


 Jina la hadithi.   : SHANGAZI II

Sehemu  ya       : TISA (9)

Mwandishi        : Aslam Khan

mawasiliano     : aslammusamail@gmail.com


Ilipoishia...


"Mmmh hili giza linaninyima raha!" Niliwaza moyoni mwangu.

"Labda nijaribu kuingiza vidole ndio nitapata uhakika!" Niliendelea kuwaza. Niliviandaa vidole vyangu viwili kwa kuvipaka mate yaliyochanganyika na ute ute uliotoka ukeni ili niviingize katika uke wa Husna, hivyo ndo ningepata uhakika. Niliendelea kulamba kisimi chake huku nikijiandaa kwa kile nilichokidhamilia...


Endelea...


Niliviandaa vidole vyangu na kuanza kuhesabu kimoyomoyo.

"Moja....mbili....tat....!" Niliviingiza vidole, lakini havikuingia. Husna aliruka juu na kuinuka kutoka kwenye kiti.

"Abdam, kwa nini lakini?" Aliniuliza huku akiniangalia kwa jicho lililoregea kutokana na msisimko wa mwili wake.

"Samahani Husna, nisamehe sana!"

"Nijibu, kwa nini umeamua kuniumiza, unakumbuka nilikwambia nini tangu mwanzo?"

"Nikumbushe!"

"Nilikwambia mimi sijawahi kufanya mapenzi na mwanaume tangu nizaliwe, sasa unapotaka kunifanyia hivyo hujui kama utaniumiza, tena vidole viwili, angalau kingekuwa kidole kimoja. Kwani bikra ndo huwa inatolewa hivyo au hauniamini kile nilichokwambia?"

"Samahani Husna, nisamehe bwana!" Nilijibu huku nikimsogelea na kumshika kiuno kwa kumkumbatia.

"Hebu niache, niache Abdam tafadhali. Leo nilitaka nikupe penzi na uitoe bikra yangu, lakini umefeli mtihani mdogo tu kutokana na papala zako, kwa leo inatosha mpaka siku nyengine!"

"Husna, usifanye hivyo bwana!"

"Muda umeenda sana sasa hivi, chukua nguo zako uvae na uende ukalale!" Husna alisema huku akiwa anaanza kuvaa nguo zake. Niliona kweli Husna alishakusudia kuwa shughuli ilikuwa imeishia pale. Nilijilaumu kwa haraka yangu ya kutaka kuthibitisha, na kujifanya mchunguzi.

"Husna..." 

"Vaa uondoke, ulichokifanya ni kukosa kujiamini na kukosa kuniamini mimi pia, vaa!" Alisema Husna wakati huo yeye alikuwa ameshamaliza kuvaa. Nilichukua nguo zangu na kuzivaa. Nilipomaliza, nilianza kuondoka kwenda nje.

"Kuna zawadi yako nilikuandalia!" Husna alisema. Niligeuka ili kuiona hiyo zawadi. Husna alifungua friji na kutoa keki iliyokuwa ndani ya boksi lake.

"Zawadi yangu, kwani ulijua kama nitakuja, itakuwa ulijinunulia mwenyewe tu harafu unataka kunidanganya!"

"Ndio, nilijinunulia mwenyewe, nimeamua kukupatia, je umeridhika?" Alisema huku akinipatia boksi lenye keki.

"Hata nisiporidhika, nitafanya nini sasa!"

"Naona haupo sawa, ngoja nikupatie na juisi labda ukifika kwenu utataka kula hiyo keki, kwa hiyo utashushia na juisi!" Husna alisema huku akichukua chupa iliyokuwa na maji na kuyamimina kisha akachukua juisi kwenye jagi na kuimiminia kwenye ile chupa.

"Hii hapa, nahisi itakutosha!" Alisema Husna na kunipatia ile chupa ya lita moja.

"Itatosha tu, ahsante sana!"

"Usijali, ngoja nikusindikize!"

"Tulitoka ndani na kuanza kutembea taratibu kuelekea nyumbani. Nilisikia kelele za malumbano chumbani kwa Thomas lakini sikutaka kusikiliza kilichokuwa kinawafanya wagombane mtu na mpenziwe.

"Abdam!"

"Naam!"

"Unajua kwenye maisha, unatakiwa kuwa mvumilivu, mstaarabu na mwenye subira. Ukiwa na vitu vyote hivyo, itakuwa ni rahisi kupata vitu vizuri au hata unavyovihitaji!"

"Nimekuelewa..!"

"Umenielewa au ndo unataka nimalize kuongea?"

"Usijali, nimekuelewa Husna, harafu hapa uliponisindikiza panatosha, rudi ukapumzike!"

"Ngoja nikusindikize mpaka paleee harafu narudi, sawa my?"

"Hamna, wewe rudi bwana, harafu nimekumbuka, Husna, unafanya kazi gani?"

"Hahahah kuwa na subira, utajua kama utakuwa mvumilivu, kama utakuwa na subira pia kama utakuwa mstaarabu na mpole!"

"Mbona unapenda kunizungusha zungusha wewe, unajua sikuelewi!"

"Inaonekana una haraka sana Abdam, kumbuka haraka haraka haina baraka!"

"Lazima nijue, nisije kuwa na mtu kumbe kazi yake kubwa ni kudanga, harafu nikaja kupata magonjwa bure!"

"Abdam, nitake radhi!"

"Radhi ya nini, kama haufanyi hivyo mbona unaogopa kuniambia kazi yako!?"

"Nakwambia niombe msamaha!"

"Msamaha wa nini sasa?"

"Haujui unachokiongea, haukijui?"

"Nawe kwa nini hautaki nijue kazi unayoifanya!"

"Muda haujafika, muda wa kujua kazi ninayoifanya haujafika!"

"Sasa hiyo kazi gani ambayo haitajwi mpaka ufike muda maalum?"

"Unataka kuifahamu kazi ninayoifanya?"

"Ndio!"

"Ukinioa ndo utaifahamu. Kesho nitakwambia ndugu zangu walipo upeleke posa!"

"Khaaa posa tena, hata kazi sina, hela sina harafu nipeleke posa si maajabu tena hayo?"

"Mimi naelewa yote hayo na ndio maana nikakuambia kuwa mvumilivu, mpole na mstaarabu. Lakini naona kama unataka kushindwa!"

"Basi sawa, yaishe, wewe rudi tutaongea kesho!"

"Sawa Abdam, usiku mwema, mwaaaaah!" Alisema Husna huku akinibusu mdomoni.

"Nawe pia!"

"Sikiliza Abdam, kama kutakuwa na tatizo lolote lile, usisite kunijulisha harafu tutaangalia tunasaidiana vipi!"

"Sawa Husna!"

"Jamani, hata kuniita mpenzi hutaki!"

"Usijali, nenda kapumzike!". Niliachana na Husna, nami nikaingia ndani.

"Nani huyoo?" Sauti ya baba ilisikika.

"Mimi"

"Mimi ndo nani?"

"Abdam!"

"Usiku huu unatoka wapi, na nilikutafuta sana kuna tatizo hapa nyumbani!"

"Kuna mzigo nilienda kuuchukua kwa rafiki yangu!"

"Basi kama ni hivyo, sawa. Maana mjomba wako amesema usafiri kesho manake yeye anataka kwenda sehemu kikazi. Kwa hiyo, hiyo wiki ijayo anaweza akawa kazini. Hivyo inabidi kesho usafiri kwa gari za saa tano!"

"Heee mbona ghafla hivyo!"

"Amenipigia simu usiku huu huu!"

"Hata nguo sijafua!"

"Utaenda kufulia huko huko!"

"Sawa baba!"

Niliingia chumbani kwangu na kwa haraka niliifungua ile keki.

"NAKUPENDA SANA ABDAM!" Yalikuwa ni maneno niliyoyakuta juu ya keki. Pembeni kulikuwa na karatasi iliyoandikwa ujumbe. Niliifunua na kusoma

"ABDAM, KESHO NAENDA KAZINI KUFUATILIA BAADHI YA MIPANGO YANGU. BIKRA YANGU NI MALI YAKO, HIVYO NATARAJIA KUKUPATIA KESHO KUTWA. NAKUPENDA SANA!"

Nilipomaliza kusoma moyo ulinipiga na kujikuta miguu ikifa ganzi. Macho yalinitoka mithili ya mjusi aliyebanwa na mlango.


Kipi kitatokea..

Itaendelea...


 Jina la hadithi.   : SHANGAZI II

Sehemu  ya       : NANE (8)

Mwandishi        : Aslam Khan

mawasiliano     : aslammusamail@gmail.com


Ilipoishia...


Niliushusha mkono wangu zaidi mpaka ndani ya chupi yake na kuanza kukichezea kisimi. Nilikisugua sana, mpaka uke wake ukawa umelowana kabisa. Niliona hiyo ndio nafasi yangu ya kula penzi lake na kuthibitisha juu ya bikra yake. Nilipeleka kidole changu ili nikiingize ukeni, Husna aliruka na kusimama. Hofu ya kukosa penzi ikaanza kunijia. Husna aliniangalia kisha nikamuona anavua chupi yake, hapo matumaini mapya yalinijia. Nilijua azma yangu inaenda kukamilika muda mchache ujao.


Endelea...


Nilibakia nimetumbua macho kama mjusi aliyebanwa na mlango huku mate yakiwa yanakaribia kabisa kudondoka kutokana na uchu uliokuwa umenijaa. Niliona Husna anachelewa kuja, nilitamani kwenda kumrukia. Husna alipomaliza kuvua chupi yake, alikuja kwenye kiti na kuanza kuushika uume wangu na kuuchua kwa kutumia mkono wake. Niliona ananichelewesha tu kula dodo langu, ila niliamua kuwa mvumilivu. Aliushika na kuuzamisha mdomoni na kuunyonya kiustadi kiasi kwamba sikutamani tena kuingiza ukeni kwake, ila pale palikuwa panatosha. Kwa jinsi alivyokuwa ananinyonya, sikuwahi kunyonywa kama vile. Alikuwa fundi sana na anayejua kile anachokifanya. Aliendelea kuninyonya huku akiwa anaichezea pipi kwa mkono wake. Hali ile inifanya nione kama anachanganya changanya vitu na kuhisi kuna uji uji kama unataka kupanda kwenye mti wa pipi. Nilimvuta Husna ili tukio lenyewe lifuate. Husna alikubari na kuushika uume wangu, kisha akaukalia. Hakuuingiza ukeni kwake, ila aliukalia na kuanza kujisugua, nyuma, mbele, nyuma, mbele. Alifanya hivyo ili kukisugua kisimi chake kwa uume wangu. Msisimko nilikuwa ninaupata dogo sana kutokana na tukio lile. Kadri muda ukivyokuwa unaenda, ndivyo Husna alivyokuwa anaongeza kasi, na mvuke uliokuwa unatoka ukeni ukiambatana na ute ute, uliufanya uume wangu uhisi joto la kutosha na ule ute ulisaidia kuweza kuterezesha uume wangu kukisugua vizuri kisimi chake.

"Oooooooohhhhh...." Zilikuwa ni sauti za mahaba alizokuwa anazitoa Husna.

Kutokana na uterezi wa kutosha uliokuwa umetoka ukeni kwa Husna, pamoja na kasi aliyokuwa anaitumia katika kusugua kisimi chake, na ugumu wa uume uliotokana na msisimko mkubwa, tulijikuta uume ukitereza na kutaka kuingia ukeni, lakini haukufanikiwa kutokana na ufinyu wa mlango wa uke kuwa mdogo mno.

"Naumia.." Alisema Husna

"Pole, ila naomba niingize kidogo tu!" Nilisema kwa sauti ya kunong'ona

"Hapana, sio kwa leo, naumia sana.!" Alisema Husna na kuushika uume wangu na kuutoa katika eneo la uke wake. 

"Basi niache niende nyumbani, muda umeenda sana...!" Nilisema huku nikiwa nimekasirika sana.

"Hapana, itabidi nitumie njia nyengine ili unapoenda kwenu uwe upo sawa!"

"Sitaki bwana, niache niondoke!" Niliongea kiume ingawa nilitamani angalau shahawa zitoke kwenye mwili wangu kwa njia yeyote ile, maana angeniacha vile, ningeenda kupiga punyeto.

"Nikuache kweli?" Husna aliniuliza huku akiniangalia usoni.

"Ndio...!"

"Mmmh muone kwanza, jibu lako na uso wako ni vitu viwili vinavyopingana!" Alisema Husna na kugeuka. Miguu yake akiiweka kule nilipokuwa nimeweka mimi kichwa, na kichwa chake akakipeleka kule kwenye miguu yangu. Tulilala kwa kutazamana, kila mmoja akiwa ameitazama sehemu ya siri ya mwenzake. Bila ya kuchelewa, Husna alianza kuuchezea uume wangu ambao ulishaanza kusinzia. Baada ya kuhakikisha kuwa uume wangu ulisimama imara, aliuingiza kinywani kwake na kuumung'unya. Mikono yake ilikuwa ikinishika shika katika bomba lililokati ya korodani na sehemu ya haja kubwa, kwani hii ni moja ya sehemu yenye kumuongezea msisimko mkubwa mwanaume. Nikipoona hivyo, niliona huo ndio ungekuwa ni muda muafaka wa kuthibitisha kuhusu bikra ya Husna.

Nilipeleka kidole changu ili kukisugua kisimi chake ambacho kilikuwa kimesimama na kuwa kigumu huku sehemu zinazozunguka zikiwa zimelegea kutokana na kulowana na ule ute uliotoka ukeni. Nilibadilisha kutoka kwenye kidole mpaka ulimi, ambapo niliona ndio ingekuwa njia rahisi pindi atakapokuwa amekolea kwa raha, ndipo ningetafuta ukweli juu ya suala hilo.

Nilimshika mapaja yake vizuri, ambayo yalikuwa yamebana kichwa changu vilivyo. Kwa kutumia mikono yangu, nilikuwa ninayapapasa huku nikiwa ninayaminya minya. Nilizamisha kichwa changu ili kuweza kupata eneo ambalo nilikuwa nimelikusudia, kisimi. Nilitoa ulimi wangu na kuanza kukilamba, na kuking'ata ng'ata kiufundi kiasi cha kutomuumiza.

"Oooohhhshhhhshh...." Zilikuwa sauti za mahaba za Husna baada ya kung'atwa ng'atwa katika kisimi.

Niliposikia vile, nilijua kuwa, utamu ndio ulikuwa unamkolea, hivyo nikaamua kuongezea chumvi, kitunguu, ndimu na pilipili kwa mbali. Muda wote, niliyakodoa macho yangu na kuwa makubwa kama goroli ili niweze kuona pale penye mlango wa uke, lakini sikuona kitu.

"Mmmh hili giza linaninyima raha!" Niliwaza moyoni mwangu.

"Labda nijaribu kuingiza vidole ndio nitapata uhakika!" Niliendelea kuwaza. Niliviandaa vidole vyangu viwili kwa kuvipaka mate yaliyochanganyika na ute ute uliotoka ukeni ili niviingize katika uke wa Husna, hivyo ndo ningepata uhakika. Niliendelea kulamba kisimi chake huku nikijiandaa kwa kile nilichokidhamilia...


Je atafanikiwa, itaendelea


 Jina la Simulizi: SHANGAZI II

Sehemu  ya       : SABA (7)

Mwandishi        : Aslam Khan

mawasiliano     : aslammusamail@gmail.com

                         

                        


Iliposhia...


"Abdam, twende bwana!" Alizidi kuongea Husna lakini macho yangu bado yalibakia kwa Asha. Husna alipoona hivyo, alisimama mbele yangu na kusogeza midomo yake kwenye midomo yangu kisha kuuingiza ulimi wake katika kinywa changu na kuuzungusha katika ulimi wangu. Hali ile iliufanya moyo wangu kupoa na uume wangu ulianza kusimama. Nikainua mikono yangu na kukishika kiuno cha Husna ambaye alivaa dela wenyewe wanaita kijola, na chupi tu ndani. 

"Abdam...!" Ilisikika sauti ya Asha ambaye alikuwa anainuka kutoka kitandani kuja nilipokuwa nimesimama na Husna.


Endelea...


Hali ile ilisababisha wote tubaki kumuangalia Asha anataka kufanya nini. Asha aliinuka toka kitandani huku uso wake ukiwa unabubujikwa na machozi.

"Abdam, tuondoke hapa!" Alisema Husna. Nami sikupinga, nilitekeleza amri ya Husna.

"Abdam, ndo unamsikiliza huyo malaya wako, Abdam tafadhali nisamehe!" Asha aliongea huku Thomas akibakia anamuangalia tu.

"Wewe mtoto, nani malaya?" Nilisema huku nikijiandaa kurudi nyuma kwenda kumkabili Asha.

"Abdam, achana nae bwana, nisikilize mimi, mimi si ndio niliyetukanwa, basi achana nae, tuondoke!"

"Sawa Husna!" Niliitikia na bila hiyana niliongozana na Husna mpaka chumbani kwake. Tulifika sebuleni na kujitupia kwenye kiti nikiwa siamini kile nilichokuwa nimekishuhudia dakika chache zilizopita. Kichwa changu kilitawaliwa na mawazo lukuki.

"Hebu chukua juisi hii upooze koo!" Husna alinistua kutoka katika mawazo yaliyokuwa yametawala ubongo wangu.

"Husna, siwezi kata kunywa, koo langu limefunga kabisa!"

"Nawe acha utoto, jikaze kiume, wewe ni mtu mzima na tambua kuwa kuna mtu anakutegemea umuongoze, utawezaje kumuongoza wakati jambo hili dogo linakutatiza mpaka sasa hivi?"

"Kuongoza, mie sio kiongozi!"

"Kila mwanaume, ni kichwa cha familia, hivyo lazima kuiongoza familia yako vizuri ili kuishi kwenye maadili yalio mema, usipokuwa wewe kiongozi, ndo mkeo ataongozwa na wanaume wengine sasa!"

"Husna, hebu tuachane na hayo, mie nimekwambia tu kuwa sijisikii kunywa juisi!"

"Sio kwamba haujisii kunywa, bali kilichotokea ndicho kinachokufanya usiweze kunywa, sasa mie nitakunywesha!" Alisema Husna huku akikisogeza kichwa changu kwake, na taratibu alianza kuninywesha juisi huku mkono mwengine akiwa ananipapasa papasa, hali iliyokuwa inanifariji sana. Taratibu moyo wangu ulianza kutulia. Husna aliendelea kunipapasa papasa sehemu mbali mbali za mwili wangu. Mwili nao ulianza kutii amri, nilianza kuhisi msisimko. Nilianza kuinua mikono yangu na kujibu mapigo kwa Husna, nilimpapasa kuanzia kiunoni, sehemu ambayo ilikuwa ni karibu zaidi kwa mikono yangu kuifikia. Kitendo kile, kilimfanya Husna aache kuninywesha juisi na kuiweka juu ya meza. Tulibaki tukiangaliana kwa sekunde kadhaa na bila ya kutegemea, tulijikuta midomo yetu ikiwa imekusana, na bila ya hiyana, tulianza kubadilishana mate huku tukiwa tunapapasana sehemu mbalimbali za miili yetu.

"Hapana Husna, mimi siwezi kufanya hivyo, mwili wangu hauna nguvu kabisa!" Nilisema mara baada ya Husna kufikia sehemu zangu za siri.

"Usijali Abdam, utapata tu nguvu!"

"Aaah hapana, muda umeenda sana, nahitaji kurudi nyumbani muda huu!"

"Aha, sawa, ngoja nikupe zawadi yangu kwanza ili usijisikie vibaya!" Alisema Husna na kuanza kunifungua zipu ya suruali yangu.

"Husna, nimekwambia muda umeenda, kwa hiyo tukianza kufanya hapa, si nitarudi usiku sana!" 

"Hatufanyi kitu, ila nakufanyia wewe ili mwili wako uwe mwepesi!" Alisema Husna na kuushika uume wangu na kuutoa nje. Aliishusha suruali yangu kwa mkono mmoja huku mkono mwengine akiwa anauchua uume wangu.

"Husna utaniumiza, chukua hata mafuta basi!" 

"Usiwe na haraka hivyo Abdam, kuwa mpole!" Alisema Husna huku akivua nguo zake na kubakia na chupi na sidiria tu pekee. Nilibakia nimetulia na kuwa mpole kama maji kwenye mtungi. Alimalizia kunivua boksa yangu na t-shirt niliyokuwa nimevaa, maana kwa haraka niliyokuwa nayo baada ya kupigiwa simu na Husna, hata vest(singlendi) sikuvaa. Alipanda juu yangu na kufikia katika kichwa changu tukiwa tumekutanisha midogo na kubadilishana mate. Mkono wake mmoja ulikuwa ukiuchua uume wangu taratibu. Msisimko ulizidi kuutawala mwili wangu, hivyo nikaamua kuitoa sidiria yake ili nicheze na matiti yake. Nilipoitoa, nilistaajabu na kuufanya mwili wangu uzidi kuwa na ganzi mno. Alikuwa na matiti yaliyouvutia moyo wangu, yakiwa yamesimama vizuri kama jua la saa sita mchana huku chuchu zake zikiwa ngumu na zilizovimba mno. Nilianza kubonyeza bonyeza chuchu zake na kusababisha atoe sauti za mahaba. Nilihamishia mikono yangu katika mbavu zake na moja kwa moja mpaka mgongoni. Niliupapasa mgongo wake huku nikishuka mpaka katika makalio yake na kuyaminya minya. Husna alipoona vile, alianza kunibusu kuanzia shingoni na taratibu akawa anashuka mpaka kifuani, tumboni na hatimaye chini ya kitovu. Alinyonya korodani zangu huku akiuchua uume wangu kwa mkono wake. Baadae aliuchukua uume wangu na kuuingiza mdomoni kwake na kuushughulikia. Kutokana na msisimko niliokuwa ninaupata, nilijikunja ili kuufikia mwili wake. Nilichezea matiti yake huku nikipekecha pekecha chuchu zake ngumu na kuzibonyeza bonyeza kiustadi. Nilimchezea kifua, masikio, shingo na tumbo. Niliushusha mkono wangu zaidi mpaka ndani ya chupi yake na kuanza kukichezea kisimi. Nilikisugua sana, mpaka uke wake ukawa umelowana kabisa. Niliona hiyo ndio nafasi yangu ya kula penzi lake na kuthibitisha juu ya bikra yake. Nilipeleka kidole changu ili nikiingize ukeni, Husna aliruka na kusimama. Hofu ya kukosa penzi ikaanza kunijia. Husna aliniangalia kisha nikamuona anavua chupi yake, hapo matumaini mapya yalinijia. Nilijua azma yangu inaenda kukamilika muda mchache ujao.


Je yatatimia???

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget