Halloween Costume ideas 2015

SHANGAZI II -13


  Jina la hadithi. : SHANGAZI II

Sehemu ya : KUMI NA TATU (13)

Mwandishi : Aslam Khan

mawasiliano : +255 (0) 627 676 104 

aslamstorymail@gmail.com

aslamstory.wordpress.com



Ilipoishia...

“VIPI MPENZI, UMEFIKA SALAMA, NAONA NAKUPIGIA SIMU HAUPOKEI, NATAKA NIKWAMBIE KUWA NAWEKA MAMBO YANGU VIZURI NA KARIBUNI NITAKUJA HUKO, SIWEZI KUISHI PEKE YANGU ABDAM, SIWEZI KABISA, NAKUPENDA SANA!” Ilikuwa meseji kutoka kwa Husna. Nilipanga nitaenda kuiijibu pindi nitakapokuwa nimetulia kwa mjomba. Niliifungua meseji ya pili.

“EBWANA ABDAM, ASHA ALITAKA KUJINYONGA, HIVYO AMELAZWA HOSPITALI, HAJITAMBUI!”  ilikuwa meseji kutoka kwa Thomas ama Tom kama tulivyozoea kumuita. Yeye sikutaka kabisa kumjibu meseji yake na mpenzi wake, Asha.

“ANGALIA MBELE ABDAM USIJE UKAMWAGA BIASHARA ZA WATU, NAJUA UNANITAFUTA, MIMI NAKUONA. HUWEZI KUNIONA MAANA NIPO NDANI YA GARI LENYE VIOO VYEUSI. UKWELI NINA HISIA NAWE, NA NITAKUTAFUTA……!” Meseji ya mwisho ilikuwa inatoka kwa Tunda.

Endelea…


“sasa ngoja tupitie sokoni tuchukue matunda, maana najua wewe unapenda sana wali ukiwa na maembe dodo pembeni” mjomba aliniambia

“hahaha sawa mjomba!”

Tulienda sokoni na kuchukua matunda mchanganyiko. Kisha tukaenda sehemu ambayo aliegesha usafiri wake. 

“mjomba, hapa ndipo ninapofanya kazi zangu, eneo hili ndilo linaloitwa sabasaba. Ukipita hapo kwenye kibarabara hapo, utakutana na uwanja mkubwa na mkono wa kushoto kuna shule ya sekondari!” aliniambia huku akinielekeza kwa mkono.

“ooh sawa!”

Baada ya kuongea maneno mawili matatu na wenzake, tulianza safari ya kwenda Nkanaledi. Tuliifuata barabara ya lami inayoelekea Mikindani. Tuliteremka mlima ambapo mjomba aliniambia kuwa eneo hilo linaitwa Magomeni. Moja kwa moja tukanyoosha kama umbali wa mita mia tatu hivi, tukapita kwenye barabara ya vumbi iliyoelekea upande wetu wa kushoto. Baada ya kama nusu saa hivi, tuliwasili nyumbani kwa mwenyeji wangu, nyumbani kwa mjomba. Tulimkuta shangazi akiwa ameshaandaa chakula mezani. Nilipomuona shangazi, alikuwa mrembo zaidi ya yule ambaye nilimuona kwenye ndoto. Ila umri wake ulikuwa mkubwa kidogo. 

“karibuni…!” alisema shangazi mara alipotuona.

“ahsante sana…!” niliitikia.

“mjomba hapa ndo nyumbani, karibu sana!” alisema mjomba.

“ahsante sana mjomba!”

Shangazi alichukua maembe mawili na kuyamenya haraka haraka na kuyakata kata vipande vidogo vidogo. Kisha akayaweka katika sahani na kuyaleta mezani.

“karibuni chakula…!” alisema shangazi na kuchukua maji na kumnawisha mjomba mikono kisha kuja kwangu.

“aaah mie nitanawa mwenyewe…!” nilimwambia shangazi huku nikimuangalia usoni hali iliyomfanya shangazi atabasamu na kufanya sehemu za mashavu yake kubonyea kwa ndani na kusababisha uzuri wake kuonekana mara dufu. Nilichukua maji na kunawa mikono yangu na kuanza kula. Tulipomaliza kula, vyombo viliondolewa na nikabakia na mjomba tukiongea mambo kadhaa kuhusu safari yangu. Baadae niliomba kupumzika na shangazi alinionyesha chumba changu nitakachoweza kupumzika.  Niliingia chumbani na kujilaza kitandani huku nikisubiria kuona kama kuna ujumbe wowote ambao ungeingia katika simu yangu. Nilisubiria mpaka nikapitiwa na usingizi, hakuna ujumbe wowote ambao uliingia katika simu yangu. 

“mjomba… mjomba.. Abdam!” nilistushwa na sauti ya mjoma aliyekuwa ananiamsha, sikujua ilikuwa saa ngapi, ila giza tayari lilishaingia. 

“naam nakuja!” nilijibu kiuchovu kutokana na usingizi uliotokana na safari. 

“njoo uoge bwana mjomba!” alisema mjomba. 

“nakuja mjomba!” nilijibu huku nikiinuka kutoka kitandani. Nilichukua nguo zangu na kuzivaa kisha kutoka nje. 

“maji tayari yapo bafuni!” shangazi aliniambia

“sawa shangazi!” nilijibu huku nikiongoza kuelekea bafuni. 

Nilipofika bafuni, nilivua nguo zangu zote na kuanza kujimwagia maji taratibu, maji ya vuguvugu. Niliulowanisha mwili wangu wote na kujisungua vizuri huku sabuni ikifuatia. Baada ya kumaliza kuoga, nilielekea sebuleni ambapo nilimkuta mjomba na shangazi wakiwa wananisubiria. Niliungana nao, ambapo shangazi alienda kuchukua chakula na kukileta pale sebuleni na kuanza kula. 

“Abdam, mbona umekuwa mnyonge hivyo, haujapapenda hapa?” mjomba aliniuliza.

“hahah hamna mjomba, labda huu uchovu wa safari niliokuwa nao!” nilijibu huku nikijichekesha!.

“sasa itakuwaje hapa nyumbani, manake kesho inabidi niondoke niende Msumbiji kesho ambapo nitarudi baada ya kama wiki hivi, si ndo utakuwa kama kinda la ndege aliyelowana na maji!” mjomba alinitania.

“Msumbiji, kwani sio mbali kutokea hapa?”

“Hapana, sio mbali. Wenzangu walienda tangu juzi, mimi nimeomba kwenda kesho kwa sababu yako, ili nije kukupokea kwanza!” alisema mjomba.

“aha, kwa hiyo kesho unaondoka?”

“ndio, ila tutawasiliana!” alijibu mjomba. 

“sawa mjomba…” nilimjibu. Tuliendelea kuongea mambo mengi mpaka tulipomaliza chakula. Baada ya kumaliza kula, shangazi aliondoa vyombo huku akiniacha mimi na mjomba tukiwa bado tunaendelea kuongea. Tuliongea sana na mjomba mpaka saa saba ya usiku, wakati huo shangazi alishatangulia chumbani. Ulipofikia muda huo, niliagana na mjomba na kwenda chumbani kwangu, kulala. Kabla sijalala, niliichukua simu yangu ambayo ilikuwa na simu nyingi nilizozikosa. Nilipoangalia kwa makini, walikuwa watu wanne tu. Nilikata shauri, ningeweza kuwasiliana nao siku inayofuata. Baada ya hapo, nilivua nguo zangu na kuanza kuutafuta usingizi ndani ya mkoa wa Mtwara. Ulikuwa ni usingizi mororo, uliosindikizwa na ndoto za kufurahisha, kuhuzunisha na za kutisha. 

Nilikurupuka kitandani asubuhi, niliikimbilia simu yangu na kuangalia saa, ilikuwa ni saa sita kasoro ya asubuhi. 

“heeh!” nilitahamaki na kutoka nje ili kwenda njooni maana haja ndogo ilikuwa imenibana sana. Nilikuwa nimevaa bukta nyepesi isiyokuwa na nguo yeyote ile. Kutokana na haja ndogo kujaa kwenye kibofu cha mkojo, uume wangu ulikuwa umesimama. Hivyo ndivyo ilivyo kwa mwanaume yeyote aliye kamili, ukiamka na mwenzako anaamka. Ukiona mwenzako amelala, basi jichunguze kwanza. Kutokana na haraka yangu ya kukimbilia chooni, nilijikuta nagongana na Shangazi aliyekuwa anatoka bafuni kuusafisha mwili wake mara baada ya kumaliza kazi zake zote. Tulipogongana, ilisababisha chupi yake aliyokuwa ameishika mkononi kuanguka na taulo kumvuka. Alibakia uchi. Nilijikuta nikiokota chupi yake na kumpatia wakati uume wangu ukiwa umezidi kusimama zaidi. Aliokota taulo lake na kupokea chupi yake.

“samahani…” nilisema kwa sauti ndogo. 

“usijali, hamna shida. Najua kama ni bahati mbaya tu!” alisema shangazi na kunishika begani. Wakati anaushusha mkono wake begani, ulipiga katika uume wangu kwa bahati mbaya. 

“mmmh…!” shangazi aliguna na kuyahamishia macho yake katika uume wangu. 

“vipi?” niliuliza

“haujaumia?, sijakuumiza kweli?” shangazi aliniuliza huku nikiushuhudia mkono wake ukiishusha bukta yangu. 

“shangazi, sijaumia!” nilisema haraka haraka mara baada ya kukumbuka kuwa niliwahi kuota nachinjwa na mjomba. Lakini tayari uume wangu uliosimama ulikuwa nje na maji maji ya uterezi kama kamasi yalikuwa yanadondoka. Nilimuona shangazi akiyafuta yale maji na kuyapaka kwenye kichwa cha uume wangu na kusugua sugua. Nilijikuta napata msisimko mkubwa na kutamani penzi. Kadri alivyokuwa anasugua, ndivyo uume ulivyozidi kuwa mgumu sana na kutawaliwa na misuli kila upande. Shangazi alijisahau mpaka taulo likamdondoka tena. 

“mmmh… samahani!” alisema shangazi na kuokota taulo kisha kulifunga kiunoni na kuondoka kwenda chumbani kwake. Hapo ndipo akili ikanijia kuwa ninapaswa kwenda chooni. Nilipofika chooni, haja haikutoka mara moja, ilibidi nisubiri kwa muda kidogo ndipo ilipokuja kutoka mara baada ya misuli kurudi kwenye hali yake ya kawaida. 

Nilipomaliza, nilioga kabisa huku akili ya kuhitaji penzi ikiwa imetawala kichwa changu. Nilipomaliza, nilienda sebuleni kunywa chai. 

“mjomba ameshaondoka?” nilimuuliza shangazi ambaye nilimkuta sebuleni akiwa ananisubiri tunywe chai. 

“ndio Abdam, ameondoka tangu alfajiri!” 

“Duh, sawa!” 

“vipi?”

“hamna kitu shangazi!”

Nilikunywa chai haraka haraka na nilipomaliza, nikaenda chombani kwangu kumtafuta Tunda. 

“HABARI YA KWAKO TUNDA!”

“SALAMA, KARIBU MTWARA!”

“HAHAHA AHSANTE SANA TUNDA, UNAJUA MIMI MGENI, SINA HATA WA KUNITEMBEZA TEMBEZA!”

“AAAH WENYEJI WAKO WAPO WAPI?”

“NIPO NA SHANGAZI TU, MJOMBA HAYUPO!”

“POLE SANA ABDAM!”

“AHSANTE, MIE NATAKA UNITEMBEZE TEMBEZE WEWE UNANIPA POLE TENA”  niliongea kwa mtego. 

“HAHAHAH NAKUTEMBEZAJE SASA!”

“USIJIFANYE MTOTO TUNDA, NAKUOMBA KESHO NJOO UNICHIKUE UKANITEMBEZE TEMBEZE!”

“SUBIRI KWANZA, HAPO ULIPO PANAITWAJE?”

“AAAH NGOJA NIKAMUULIZE SHANGAZI KWANZA!” nilimjibu na kutoka kwenda kwa shangazi ili kumuuliza. 

“Samahani shangazi, eti hapa panaitwaje?” nilimuuliza shangazi ambaye bado alikuwa yupo sebuleni. 

“panaitwa Nkanaledi, vipi umeshaanza kupata marafiki nini?”

“mmoja tu, kuna mtu nilikutana nae kwenye gari, yeyebni mwenyeji huku kwa hiyo nilitaka aje kunitembelea kesho!”

“nawajua vijana nyinyi, sio kukutembelea tu, bali kuna na mambo mengine, wewe nifiche tu ila mimi nimeshajua, mimi mtu mzima bwana!” alisema shangazi huku akiwa anatabasamu.

“hamna shangazi, kwanza mie mwenyewe ni mgeni!”

“hahaha mgeni wa nini, aah ila mwambie namkaribisha sana,huyo ni mkwe wangu huyo!”

“hamna bhana!”

“mwambie namkaribisha”

“sawa shangazi, ila ni rafiki yangu tu!” nilimjibu shangazi na kumtumia ujumbe mfupi wa maneno Tunda. Tulichat sana na kukubaliana kuwa siku ya pili tungeonana. Akili yangu ilipanga pindi atakapokuja, lazima nipate penzi lake. Nikiwa kwenye mawazo ya kulitamani penzi la Tunda, nilisikia sauti za mahaba kutoka nje ya chumba changu. Ndani ya nyumba. Zilikuwa zinanitesa sana. Niliamua kutoka mpaka sebuleni  ili kujua ni nani huyo… 

Je nani anayetoa sauti za mahaba? 

Na je wazo la kupata penzi kutoka kwa Tunda, litafanikiwa? 

Usikose sehemu inayofuata. 

Coming   up : NAJUTA KUSOMA HADITHI ZA KALE SEHEMU YA TANO. 

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget