Jina la hadithi. : SHANGAZI II
Sehemu ya : KUMI NA SABA (17)
Mwandishi : Aslam Khan
mawasiliano : +255 (0) 627 676 104
aslamstorymail@gmail.com
aslamstori.blogspot.com
Ilipoishia...
Niliangalia muda, ilikuwa saa sita kasoro.
"ina maana nimeamka saa tano, mungu wangu!" nilijisemea huku nikitoka chumbani kwa shangazi nikiwa na haraka nikiwa nimejifunga taulo kiunoni. Nilipiga sana simu ya Tunda, lakini haikupokelewa. Nilivyofika sebuleni, nilikutana na macho ya shangazi akiwa anatabasamu huku pembeni yake kulikuwa na mgeni, TUNDA.
Endelea...
"aaaah.....!" Nilishangaa sana.
"vipi mbona umestuka?" shangazi aliniuliza huku akiwa anatabasamu.
"amepajuaje hapa?" nilimuuliza shangazi.
"aaah ulitaka asifike hapa ndo maana ukawa haupokei simu yake?" shangazi aliniuliza huku akinikonyeza.
"nilikuwa nimelala, harafu bahati mbaya simu haikuwa na sauti...!" nilijibu ili tunda asielewe kile kinachoendelea.
"ngoja nikakuchukulie begi lako la nguo chumbani kwangu, maana jana nilisahau kukupatia!" alisema shangazi na kuingia chumbani kwangu na kurudi na begi langu la nguo.
"ahsante!" nilijibu kinafiki.
"liingize huko huko chumbani kwako!" shangazi alisema huku akinionyeshea niingie chumbani kwake. Bila ya kuuliza zaidi, niliingia chimbani kwa shangazi na kuchukua bukta nyengine na singlend(vest) na kuvaa kisha kutoka nje mpaka chooni ili kwenda kujisafisha na kuondoa harufu iliyotokana na kujaamiiana na shangazi. Nilipofika chooni, nilikutana na maji yenye uvuguvugu huku pembeni kukiwa na sabuni yenye manukato. Nilisafisha kibofu changu kwa kuondoa maji yaliyojaa, kisha nikasafisha tumbo kutokana na chakula cha siku iliyopita kisha nikaanza kuoga. Nilipomaliza kuoga, nilirudi mpaka chumbani kwa shangazi ambako kulikuwa na nguo zangu,naona shangazi aliamua kusema kile ni chumba changu ili kumficha Tunda asiweze kujua kitu kilichokuwa kinaendelea kati yetu, mimi na shangazi. Nilipofika chumbani, nilichukua nguo safi na kuzivaa kisha nikatoka kuelekea sebuleni, alipo shangazi na Tunda.
"Chai yako hii, saa sita sasa" alisema shangazi huku akinionyesha sehemu iliyokuwa imefunikwa na mfuniko maalum.
"Tunda, karibu tunywe chai" nilimwambia Tunda huku nikimpatia bakuri aweke mkono wake ili nimmwagilizie maji.
"aaah mimi mbona tayari nimeshakula jamani!" Tunda alisema kwa madaha.
"umekula muda gani wewe?"
"kwani unafikiri nimefika muda huu hapa, nimefika muda mrefu sana mimi mpaka sasa hivi tunaandaa chakula cha mchana!" Tunda alisema.
"mmmmh ya kweli hayo?"
"muulize shangazi yako atakwambia!"
"kwanza nani aliyekufuata na kukuleta hapa?"
"aaah kumbe kweli ulikuwa hautaki mimi nije hapa, shangazi ndiye aliyenifuata magomeni nikaongozana nae mpaka huku!" alisema Tunda huku akitabasamu.
"eti shangazi, ulimfuata wewe?"
"ndio, nilimfuata!"
*********
Hakikisha unaingia aslamstori.blogspot.com ili kupata vipande vyote vya nyuma na simulizi nyengine kali. Pia huko unaweza kuzipata kwa tofauti ya siku mbili mbili tofauti na facebook ambapo hufikia mpaka siku tatu. Bonyeza kushoto juu na kwenye mistari mitatu chini ya neno HADITHI MPYA, na utaona hadithi. Chagua hapo kisha utachagua picha ya simulizi uipendayo. Ukishindwa sehemu nitafute kwenye whatsapp 0627676104. Haki za kunakili zimehifadhiwa.
© Aslam Khan.
***********
"mmmh namba zake umezipata wapi?"
"umesahau kama umenipatia wewe jana wakati tunamuongelea mkwe wangu, wewe si ndo ulisema huyu ni mkwe wangu au sio wewe?" shangazi alidanganya. Hapo niligundua shangazi itakuwa amesoma meseji zangu na kuchukua namba ya Tunda. Hivyo niliamua kukubaliana na shangazi ili siri yetu ya kufanya mapenzi kwa usiku uliopita isigundulike.
"aaah nilisahau shangazi, si unajua uzee huu unaninyemelea!" nilisema hali iliyosababisha wote tuangue vicheko.
"hahhha uzee huo, na wazee wasemaje. Wakati bado mtoto kabisa wewe!" shangazi alisema.
"ohoo shangazi, mimi mkubwa!"
"ukubwa huo uutolee wapi wewe?"
"nikuonyeshe kama mimi ni mkubwa?" nilisema huku nikimkonyeza shangazi.
"hahahahahah....!" wote tuliishia kucheka huku tukimuacha Tunda njia panda asijue kilichokuwa kinamaanishwa. Nilipomaliza kula, Tunda aliondoa vyombo na kuvipeleka jikoni. Nilishangaa sana.
"shangazi, wewe ndo ulimfuata Tunda?" nilimuuliza shangazi mara baada ya Tunda kutoka.
"ndio, nilienda kumfuata!"
"duh, nba zake umezipata wapi mpaka ukafanya nae mawasiliano?"
"kwenye simu yako, maana ilikuwa inaninyima usingizi kutokana na mwanga wake, muda inapigwa, kila muda meseji, ndo nikachukua namba yake nikamfuta ili asijisikie vibaya, na sikutaka kukuamsha kwa sababu nilikuona ulikuwa umechoka sana." alisema shangazi.
"duh!"
"ndo hivyo"
Tunda alirudi na tukaendelea kuongea ili na lile mpaka ilipofika saa nane, chakula cha mchana kiliandaliwa na tukala.
"mimi natoka mara moja naenda kwenye vikoba, nitakukuta mkwe, usijali jisikie upo nyumbani!" alisema shangazi kumwambia Tunda mara baada ya kumaliza kula.
"sawa shangazi!" Tunda aliitikia kwa unyenyekevu.
Shangazi alinikonyeza na kuondoka.
"enhe niambie Tunda!" niliongea huku nikimgeukia Tunda.
"safi tu, inaonyesha shangazi yako ni mkarimu sana na mcheshi kweli kweli."
"leo tu ndo umemuona hivyo, kweli sifa za mtu hazijifichi"
"hebu angalia simu yako, mbona inawaka, harafu kwa nini umeitoa mlio?" Tunda aliniambia na kunionyesha simu yangu iliyokuwa imeingia meseji.
"aah huwa natoa sauti usiku ili isinisumbue sana!" nilijibu kwa kifupi na kuiinua simu ili nisome meseji iliyoingia. Alikuwa shangazi.
"WE MTOTO, UMEJUA KUNIPAGAWISHA. NAJUA HUYO LAZIMA NA YEYE ATATAKA DOZI YAKE, NA NDIO MAANA NIMEAMUA KUTOKA ILI NIMPISHE APATE HAKI YAKE. MIMI SIJAENDA KWENYE VIKOBA ILA NAOMBA MPE HARAKA MAANA NIMEANZA KUWA NA WIVU JAMANI, UTANIUA MIMI MTOTO WA MWANAUME MWENZIO, UTANIUA BABA."
Nilipomaliza kuusoma ujumbe huo, niliufuta kabisa ili usije ukaleta umbea.
"nani huyo?" Tunda alidadisi.
"aah ni shangazi!"
"vipi, amechukia mimi kuja hapa?" Tunda aliuliza akionekana kuwa mnyonge.
"hahaha hapana, angekuwa amechukia wala asingekufuata Magomeni!" nilidanganya.
"sawa, niambie!"
"naomba twende chumbani kwangu tukaongee basi, hapa tutakuwa hatuna uhuru sana!" nilisema
"mmmmmh!" Tunda aliguna
"vipi?"
"hamna, haya twende!" alijibu Tunda na kuanza kunyanyuka.
Moja kwa moja, niliongozana na Tunda mpaka chumbani kwangu na sio chumbani kwa shangazi.
"heee huku ndo chumbani kwako?" Tunda aliniuliza akionekana kushangaa.
"usiwe na hofu Tunda, karibu!"
"mmmh...!" Tunda aliishia kuguna tu.
Nilipofika chumbani, sikuwa na hadithi nyengine zaidi ya kuurukia mdomo wa Tunda ambaye alionyesha kukataa huku anataka. Sikutaka kubishana nae, nilimshika kiunoni kwa kumminya minya kuzunguka kiuno na mkono mmoja ukiwa kichwani kwake nikikielekeza kichwa chake kije kwangu.
Taratibu nilimuona akiwa anainua mikono yake na kunishika kiunoni mpaka kichwani. Niligundua alikuwa anahamu na mechi. Hivyo sikutaka kuleta mambo mengi, nilizitoa nguo zake moja moja huku akinionyesha ushirikiano wa kutosha.
Tunda alikuwa na matiti makubwa lakini yalionekana kutochezewa chezewa sana. Yalikuwa yamesimama vilivyo. Saa sita mchana na sio ya saa kumi na mbili jioni. Matiti ambayo vijana wengi huyapenda.
Niliyashughulikia kwanza matiti kwani ndipo ulipo ugonjwa wangu mkubwa. Maana hata kama makalio sio chura, pasi, nilikuwa sijali ila nikikosa saa sita ya mchana, dah nilikuwa sina mzuka kabisa.
Baada ya maandalizi ya kutosha, tulikuwa ndani ya uwanja wa mechi. Kila mtu alimuonyesha mwenzake ufundi wake wa kusakata kabumbu. Baada ya muda mfupi, tayari nilishafika kileleni. Nilichoka sana. Sikuweza kuendelea zaidi.
"mbona hivyo wewe?" Tunda aliniuliza akionekana kuhitaji mechi iendelee kupigwa.
"itakuwa huu uoga niliokuwa nao, ndo unanifanya niwe hivi!" Nilimdanganya Tunda kwani uchovu wangu ulitokana na kukesha na shangazi usiku mzima.
"ina maana hapa kwenu, unaogopa?"
"ndio...!"
"Abdam, sijapenda hata kidogo..." alisema Tunda na kunipiga kibao.
"kama unaona wewe huogopi, basi nitakuja kwenu!" niliropoka.
"njoo kesho kutwa, kesho naweka mazingira sana kesho kutwa uje, na ole wako usipokuja....., ,hebu niambie kwanza utakuja, una uhakika?" aliuliza Tunda na kunifanya nikiwa na majibu mawili mawili kichwani kwangu nisijue nimpe jibu gani.
Je safari ya kwenda anapokaa Tunda, itawezekana, na je tendo litaweza kufanyika kwa ufasaha na je nini hatma ya shangazi.
Fuatilia sehemu inayofuata.
**KAMA KUNA SEHEMU IMEKUKWAZA KWA NAMNA MOJA AMA NYENGINE, UTANISAMEHE KWA MAANA SIKUWA NA NIA YA KUMKWAZA MTU INGAWA INAWEZEKANA KUNA BAADHI YA MANENO YANAWEZA KUWA YANALETA UNYONGE KWA MTU.
Post a Comment