Halloween Costume ideas 2015

SHANGAZI II -20

Shangazi season two


 Jina la hadithi. : SHANGAZI II

Sehemu ya : ISHIRINI (20)

Mwandishi : Aslam Khan

mawasiliano : +255 (0) 627 676 104 

aslamstorymail@gmail.com

aslamstori.blogspot.com


Ilipoishia...

"si tumekubaliana kuwa kesho unanipatia penzi, au unajifanya umesahau!"

Kabla sijajibu, simu ya shangazi iliyoa mlio kuashiria kuwa kuna ujumbe umeingia. 

"aaah sijui atakuwa ndo yeye!"

"inawezekana ndo yeye, anarudi leo hii!" Nilidakia

"aah sipendi bhana!" alisema shangazi kimahaba huku akiusoma ujumbe aliotumiwa. 

"mungu wanguuuuu.....! " shangazi alisema mara baada ys kuusoma ujumbe 

"vipi?"

"Tunda....!"


Endelea...


"kuna nini shangazi?" nilimuuliza nikiwa sijui chochote kinachoendelea. 

"abdam, inabidi utoke kwanza kwa muda, uwe unachungulia chungulia kama kuna usalama, ndo utarudi!" shangazi aliniambia na kunifanya nizidi kuchanganyikiwa.

"shangazi, sijakuelewa, hebu nifafanulie kwanza!"

"sikia, Tunda amenitumia ujumbe amesema wanakuja na polisi. Amejitahidi sana kukataa kuja huku, lakini imeshindikana!"

"haaaaaaah!" 

"ndo hivyo, inabidi wasikukute hapa!"

"sawa, sasa naomba ukaweke begi langu la nguo chumbani kwako, kisha mie natoka sasa hivi!" nilimwambia shangazi kisha nikaenda chumbani kwangu na kuchukua fulana yenye mikono mirefu ikiwa imeunganishwa na kofia na kuivaa. 

Pia nilichukua raba nyeupe na kuzivaa, simu nikaitoa sauti kisha nikaiweka ndani ya kitambaa na kuiweka mfukoni. Tena nikajipulizia na manukato. Nikatoka nje. 

Nilipofika tu nje, kwa mbali niliona kundi la watu takribani nane mpaka kumi. Walikuwa wakija upande niliopo. Nilistuka sana kwa kujua itakuwa ndio askari wenyewe wanaosemwa. Akili yangu ikanituma nikimbie, lakini nikafikiria endapo kama nitakimbia basi itakuwa ni tatizo kwa upande wangu kwani nitastukiwa mapema. 

Nilijivesha ujasiri na kuelekea kule kule ambako lile kundi la watu lilipokuwa linatokea. 

"twende sasa ukatuonyeshe, unasita sita nini?" ilisikika sauti ya mmoja wa askari ikimwambia Tunda. 

"na sijui huku kote ulifuata nini, polini kama huku!" kuna mwanamke mwengine alisema.

Nilipokuwa nawapita, macho yangu yaligongana na ya Tunda. Mtu hapotelewi na kitu chake, Tunda alinigundua, lakini hakusema kitu zaidi ya kubakia kimya. 

"tumekwambia tembea ukatuonyeshe huko, tupo kazini sisi, hatutaki masihara ndani ya kazi, umalaya wako huko, sisi wengine tunajitambua!"

"jamani, nimeshawaambia, hii sehemu yenyewe siijui vizuri, nilikuja mchana sasa sijui chochote kwa muda kama huu!" alisema Tunda

"acha upuuzi, unapajua sana tu, tupeleke!" alisikika askari mwengine

"Jamani, nishawaambia sipajui vizuri, nawapeleka na sitaki mnifuatilie fuatilie, mimi ni mtu mzima, sawa, na sio malaya kama mnavyonifikiria. Najitambua na nakijua kile ninachokifanya!" alisema Tunda na kufanya kila mmoja kupandwa na hasira huku wakikosa kitu cha kuongea. 

"tumeshamkosa huyu!" alisikika askari mwengine akisema. 

"wengine wanazaa binadamu, wengine wanazaa kenge!" alisema askari mwengine wa kike. 

"mimi sio kenge, labda wewe kama ndo kenge!" Tunda alijibu akionekana kupandwa na hasira. 

"unamuona huyu mtoto alivyokosa adabu!"

"nyinyi ndo mnataka nionekane sina adabu, nimewavumilia sana tangu tunatoka nyumbani, lakini bado mnaendelea tu mpaka muda huu,  je kwani hamkutosheka na kimya changu?" alisema Tunda na hakuna aliyemjibu. Nilikuwa nawanyemelea kwa nyuma nyuma kimya kimya. Walifika nyumbani na kugonga mlango ambao ulifunguliwa na shangazi na wote waliingia ndani. Baada ya dakika kumi tangu walipoingia ndani, nilihisi simu yangu iliwaka, hivyo nikaiangalia. Kulikuwa na ujumbe mfupi wa maneno. 

"BABY, UPO WAPI JAMANI!" nilikutana na meseji kutoka kwa Tunda. 

"NIPO NYUMBANI!"

"NYUMBANI GANI WAKATI MIMI NIPO NJE HAPA, NAGONGA HAPAFUNGULIWI?"

"AHA, NILIKIWA NIMELALA ILA UMEKUJA KUFANYA NINI USIKU HUU?" niliuliza maana nilijua kabisa ninayechati nae hakuwa Tunda. 

"USIJALI, NIMEKUMISS TU!"

"ACHA UPUUZI, HEBU RUDI KWENU SASA HIVI!" 

"JAMANI, NYUMBANI NIMEFUKUZWA, NARUDI VIPI?"

"BASI TAFUTA SEHEMU NYENGINE YA KULALA MAANA HAPA NAKARIBIA MCHINGA, NARUDI DAR!" nilijibu, baada ya hapo, hakuna meseji nyengine iliyoingia kwenye simu yangu. Baada ya dakika kama tano hivi, niliwaona wakiwa wanatoka na shangazi aliwasindikiza.

Waliagana na kisha wakaondoka wakiwa wanasonya sonya njia nzima. Baada ya kuhakikisha kuwa wameondoka, nilirudi nyumbani.

"una bahati sana kwa sababu yule msichana anakupenda, bila ya hivyo, jamaa yangu leo ungeenda kunyea debe" shangazi aliniambia mara baada ya kuingia ndani. 

"wamesemaje kwani?"

"kwanza wametafuta nyumba nzima, mpaka chumbani kwangu,  ndipo wakakutumia ujumbe. Pale walipo wamekasirika sana na wakikukamata, utajuta kuzaliwa!"

"aaah wameshaondoka hao!" nilisema kwa dharau. 

"hahaha wamesema watarudi tena, kwa jinsi nilivyowaona, inaonekana wanaweza kurudi tena kweli!" alisema shangazi huku akinicheka. 

"duh, wamekuambiaje kwani?"

"kwanza mimi wameniuliza kama ulikuja hapa, nikasema tangu ulivyoondoka haujarudi tena. Na nasikia umeruka ukuta hahahahah kumbe unaweza kuruka eeewh?" alisema shangazi huku akiwa anacheka. 

"nina mwili gani wa kuruka ukuta mimi, wala sijaruka ukuta, bali nimepita mlangoni!" nilijibu. 

"sawa tuachane na hayo, kikubwa uwe makini tu, ngoja nipakue chakula tule tukalale!" alisema shangazi na kwenda jikono kwa ajili ya kupakuwa chakula. 

"ABDAM, KESHO NARUDI DAR KWA NDEGE YA MCHANA, NASIKITIKA INAWEZEKANA TUSIONANE TENA. ILA SAMAHANI KWA YOTE YALIYOTOKEA, JUA KUWA NAKUPENDA SANA, KUWA MUANGALIFU SANA!" Ulikuwa ujumbe kutoka kwa Tunda ukiwa umeingia kwenye simu yangu. 

"mmmmh....!" niliguna. 

Nilisubiri shangazi aandae chakula huku nikiwa na mawazo lukuki kichwani kwangu. 

"vipi mbona upo hivyo!" shangazi aliniuliza. 

"hamna kitu shangazi, tule tu kwanza!" nilimwambia shangazi huku nikiwa ninanawa maji. 

"sawa, hamna shida kama unanificha!"

"usijali, wala sikufichi, nitakwambia tu!"

"sitaki mimi!"

"mmmh,  ndo umekasirika!" nilimuuliza shangazi huku nikiwa napeleka mkono wangu katika kiuno chake na kuuzungusha mpaka maeneo ya tumboni na kumfanya kupandisha pumzi na kushusha kwa nguvu. 

"vipi?" nilimuuliza kwa kejeli. 

"huoni kwani unavyofanya au?" shangazi alinijibu akiwa ameyaregeza macho yake. 

"hahaha ina maana nyege zako haziishi au?"

"zitaishaje sasa, wakati sijampata wa kuzitoa na kuzimaliza!"

"mmmh basi subiri kesho, nitajitahidi kuziondoa!"

"kesho, mimi nilifikiri utaniambia tukimaliza kula, usiku wote utanitoa!"

"hamna shangazi, usiku huu naomba nipumzishe kichwa changu, harafu kuna meseji kutoka kwa Tunda, amesema kesho anarudi Da es salaam."

"mmmmh kwa hiyo hiko ndo kinakufanya uwe na mawazo sana?"

"aaah yapo mengi, naomba tu kwa usiku huu wa leo, nipumzishe kichwa kwanza. Nakuomba mpenzi, sawa?" nilimuuliza shangazi huku nikiwa ninamlisha chakula. 

"nimekuelewa mpenzi!" alisema shangazi akiwa anatafuna chakula. 

"ila nina ombi kwako!"

"ombi gani?"

"leo nitalala chumbani kwako!"

"kwa nini uje kulala chumbani kwangu wakati chumba chako kipo, harafu tulale tu kwa kuangaliana, si unataka kunipa mtihani mwenzio?"

"usijali, ukizidiwa sawa, tutafanya!"

"kweli?" 

"ndio, sikudanganyi kabisa!"

"sawa, na mimi nitakuacha ulale tu, wala sitokusumbua, utalala kwa amani tu!" alisema shangazi. 

"sawa shangazi, nashukuru kwa hilo, harafu mjomba anarudi lini kwani?" 

"bado hajaniambia, akiwa anarudi, lazima atanipa taarifa!"

"sawa!" nilijibu. Tuliendelea kuongea na kushauriana cha kufanya, kisha tukaingia chumbani kwenda kulala. 

"mbona haufungi mlango shangazi?"

"huwa sifungi, unakaaga hivyo hivyo huo. Hapo ukiufunga, kufungua utanipa shida sana."

"sawa, njoo tulale basi!" nilimwambia shangazi huku nikivua nguo zangu na kubakia na boksa pekee. Shangazi alivaa gauni jepesi la kulalia na chupi pekee. Kisha akapanda kitandani. Alipofika, tulikumbatiana na kila mmoja kupitisha mguu mmoja katikati ya mapaja ya mwenzake. Tulilala hivyo. 

Tulikuja kustuka mara baada ya kelele za mlango uliokuwa unasikika unagongwa ziliposikika. Kulikuwa na kelele za watu nje, kwa hisia zangu za haraka haraka, walikuwa hawapungui watu watano. 

"nani wewe?" shangazi aliuliza huku akinizuia nisitoe neno lolote lile. 

"mjumbe wako hapa, fungua tafadhali tuna shida na wewe?" ilisikika sauti ya mtu kutokea nje. 


Je kuna nini kiasi cha mwenyekiti kuja kugonga mlango usiku huo akiwa na watu wasiojulikana? 

Usikose sehemu inayofuata. 

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget