Halloween Costume ideas 2015

SHANGAZI I -6


 


Jina la hadithi: SHANGAZI

Sehemu ya    : SITA (6)

Mwandishi:      Aslam Khan

Mawasiliano:   +255(0) 787 378 393

                        +255(0) 768 965 020

                        +255(0) 627 676 104

aslammusamail@gmail.com

 

Ilipoishia...

 

Ilikuwa ni majira ya jioni nilipokuwa nimerudi kutoka katika kazi zangu za vibarua za upakaji rangi katika majengo. Nilipokuwa nipo nje, nilisikia mtu akiongea na simu. Alikuwa baba. Nilisubiri mpaka amalize kuongea na simu ndipo niingie ndani kwa sababu alionekana kuongea kwa hasira sana.

"Habari ya jioni?" Niliwasalimia

"Salama, habari za huko?" Aliitikia mama peke yake, baba alionekana kuwa na hasira na mimi

"Namshukuru mungu!" nilijibu kwa mkato huku nikiingia chumbani kwangu. Niliweka vitu vyangu na kutoka nje ya chumba changu.

"Wewe Abdam, njoo hapa!" Baba alisema kwa sauti ya ukali.

"Kwani kuna nini?" Niliuliza

"Nimesema njoo hapa" alisema huku akifura kwa hasira.

"Mama kwani kuna nini lakini?" Niliuliza huku nikiwa na woga mwingi!

"Muulize baba yako, yeye si ndiye aliyekuita, nikisema haunisikii!"

 

...songa nayo...

 

"Hivi wewe mtoto kwa nini kila tukiongea sisi wazazi wako, hauelewi, kwa nini lakini?, tulikuambia yule mwanamke achana nae ni mke wa mtu, lakini wewe hutaki kuelewa, mke wa mtu ni sumu, lakini hautaki kuelewa. Sasa nakua...." Kabla baba hajamalizia kuongea kile alichokuwa anataka kukiongea, simu ya mkononi ya mama iliita na kufanya akatishe maongezi.

"Hello!"

"Habari yako dada?" Ilisikika sauti ya mtu upande wa pili.

"Salama, za huko?"

"Sisi hatujambo, sijui nyinyi huko mnaendeleaje?"

"Tunamshukuru mungu kaka, vipi wifi anaendeleaje?"

"Wifi yako hajambo, analalamika upweke tu pale ninapokuwa katika mihangaiko yangu!"

"Aah mpo peke yenu kumbe?"

"Ndio dada, na ndio maana nimekupigia simu!"

"Nakusikiliza"

"Abdam si amemaliza shule, kwa hiyo tulikuwa tunamhitaji aje aongee huku siku mbili tatu"

"Sawa, kwa upande wangu sina shida, labda uongee na baba yake yupo hapa!"

"Ooh kumbe shemeji yupo hapo, nipatie niongee nae!" Mama alimpatia simu baba, na kuanza kuongea na mjomba, ndugu yake mama. Waliongea kwa takribani dakika tano hivi. Baada ya kukata simu, aliniangalia kwa muda kisha akamuangalia mama

"Amesema atamtumia nauli kesho!"

"Sawa" alisema mama

"Mama, mie hata sijatembea nae, nilikuwa namuelekeza jinsi ya kuishi katika ndoa yake, pia nilikuwa namwambia kuwa kwa sababu ameamua kuolewa, mie anisahau tu anichie maumivu yangu nikae nayo mwenyewe, ndo hapo tulipokutwa!" Nilijaribu kujitetea

"Kelele, hebu toka hapa!" Baba alisema kwa ukali, nilitoka sebuleni na kuingia chumbani kwangu.

"Kwani chakula bado?" Aliuliza baba.

"Bado kidogo!"

"Fanyeni mpakue, nataka nikapumzike mimi!"

                                             *****************

ALHAMISI

Baada ya kutumia siku tatu kwa ajili ya kujiandaa na safari, hatimaye siku ya safari iliwadia. Niliamka mapema asubuhi mnamo saa kumi na moja na kuanza kujiandaa ikiwa ni pamoja na kuusafisha mwili. Nilipomaliza, nilikunywa chai kabisa.

"Umeshaamka?" Baba aliniuliza mara aliponikuta ninakunywa chai sebuleni.

"Ndio baba!"

"Vitu vyako vyote umeviweka vizuri!"

"Ndio, bado tiketi tu!"

"Aaah nimesahau, zipo chumbani kwangu!" Alisema baba kisha akaingia chumbani kwake. Baada ya sekunde kadhaa alirudi akiwa na tiketi mkononi.

"Hizi hapa, utawasalimia huko!"

"Sawa!"

"Zaidi, tutaongea kwenye simu, sawa?"

"Sawa baba!"

Niliondoka nyumbani na kuelekea katika kituo cha mabasi ili kuisubiri gari niliyoikatia tiketi. Saa moja kasoro iliwasili na mpaka kufikia saa moja, safari ilianza. Ilikuwa ni safari ya pole pole huku mwanzo kutokana na foleni za katikati ya jiji. Baada ya kutoka nje ya mji, mwendo ulibadilika na kuwa mkali. Ilituchukua masaa nane mpaka kufika kule nilikokuwa ninaelekea. Nikiwajulisha wenyeji wangu juu ya kuwasili kwangu. Katika safari hii, nilibahatika kukutanana mtu niliyekaa nae siti ya jirani nae, alinifurahisha, kunichekesha na kunipa siri zake zilizonifanya nitamani kujuana nae zaidi. Mjomba alikuja kunilaki. Tulitoka kituoni na kuelekea nyumbani kwake. Shangazi alinikaribisha kwa furaha. Alikuwa na asili ya kipemba flani hivi. Alinitayarishia maji ya kuoga. Nilienda kuusafisha mwili kwa ajili ya kuondoa uchovu wa safari kisha nikaenda sebuleni palipokuwa na chakula kilichoandaliwa kwa ajili yangu.

"Karibu chakula Abdam!" Alisema shangazi kwa sauti iliyokuwa legevu, sauti ya upole, sauti ya kuvutia, sauti ya kike hasa.

"Ahsante!" Nilisema huku nikikisogelea chakula na kuanza kukiadabisha huku shangazi akiwa pembeni akiniangalia kwa jicho la kuibia ibia. Sikujali, kwani njaa ilikuwa inaniuma sana.

"Sasa mie natoka mara moja, nitakukuta baadae!" Alisema mjombaambaye muda mwingi alikuwa yupo chumbani kwake.

"Sawa!" Nilijibu kwa kifupi kutokana na chakula kilichokuwa mdomoni kwangu.

"Tutaongea jumapili!"

"Sawa, harafu wapigie simu uwaambie kuwa nimefika, maana mimi kwangu salio limeisha wakati wake!"

"Sawa, baadae!" Alijibu na kuniaga. Alimuita mkewe na kumpa maagizo kadhaa kisha akaodoka. Ilikuwa ni saa kumi alasiri. Shangazi aliingia ndani na kisha kuja pale nilipokuwa nimekaa.

"Unakunywa soda gani Abdam?" Aliniuliza

"Nilikuwa napendeleaga ile soda ya zabibu!"

"Ulikuwa tena?"

"Ndio!"

"Kwa nini?"

"Siku hizi sipendelei soda!"

"Sawa, vipi kuhusu sharubati?"

"Ndo kitu gani hiko?"

"Heeeh, juisi bwana!"

"Maji yanatosha!"

"Mh... Una vituko wewe unanifurahisha tu leo siku ya kwanza?"

"Mimi?"

"Ndio"

"Mbona ni kawaida yangu?"

"Kawaida yako kuwafurahisha watu?"

"Ndio!"

"Kama vipi?"

"Kama nikimkuta mtu ana huzuni, namtuliza mpaka afurahi, muda mwengine huwa naandika stori ili watu tu wafurahi!"

"Heee...makubwa!"

"Makubwa tena, mbona naweza zaidi ya hayo, yapo mengine zaidi ya makubwa ninayaweza!"

Shangazi alibaki anaabasamu huku macho yake makubwa yakiongeza uzuri wake. Ndio alikuwa ni mwanamke hasa, mpole, anayejiamini. Ila alikuwa na kitu ambacho huwa nakipenda sana na kunichanganya. Matiti ya saizi ya kati, yaliyosimama vizuri, yalinisisimua sana. Tuliendelea kuongea kwa muda mpaka pale nilipomaliza kula. Shangazi aliondoa vyombo na kuniambia nimfuate akanionyeshe chumba changu cha kulala. Baadae alitoka na kuniacha mimi chumbani. Niliamua kujipumzisha kwanza ili kupunguza uchovu. Nilikuja kuamka majira ya saa mbili hivi za usiku. Niliangalia sebuleni, hakukuwa na mtu,

"Mmh shangazi itakuwa amelala labda!" Nilijisemea kimoyo moyo.

Nilirudi chumbani kwangu na kuvua nguo zangu, na kuchukua taulo kwa ajili ya kwenda kuoga wakati huo haja ndogo ilikuwa imenibana sana nusu ya kutoka yenyewe. Nilikimbilia bafuni ili kuwahi kabla sijadhalilika kwa kujikojolea mtu mzima. Nilifungua mlango wa bafu na kwa haraka nikaingia ndani huku nikiwa tayari nimeshaanza kuushika uume nje ambao ulikuwa tayari umeshaanza kutoa haja ndogo kabla sijafika katika eneo maalum. Nilipoingia bafuni, ndipo haja ndogo ilipoacha kutoka kutokana na mstuko nilioupata. Nilimkuta shangazi akiwa uchi kabisa akiwa anajiandaa kuoga. Niliduwaa, wote tulikuwa kama watu tuliopigwa na shoti, tulibaki tukitazamana kwa muda tukiwa uchi kabisa....

 

Je nini kiliendelea... Usikose sehemu zitakazofuata.

 

 

 


Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget