Halloween Costume ideas 2015

SHANGAZI I -3

 



Jina la hadithi: SHANGAZI

Sehemu ya:      TATU

Mtunzi:            Aslam Khan

Mawasiliano:   0627676104

 

ILIPOISHIA....

 

"Shangazi!" Niliita kwa upole na macho yenye kubembeleza jambo.

"Niambie dear!"

"Basi hata kuniruhusu nikatafute asali katika pango la nyuki?"

"Nyuki wenyewe ni wakali, angalia utatoka manundu!"

"Mimi siogopi manundu!"

"Usijali, nimekwambia kabla mjomba wako hajarud........!"

"Wewe....wewe......wewe.... Kabla sijarudi unataka kufanya nini, eti unataka kufanya nini?" Ilikuwa sauti ya mjomba alipokuwa anatoka chooni. Nilijua siku za mwizi arobaini. Niliona nimekamatwa na nikawa nasubiri hatma yangu

 

...SONGA NAYO....

 

"Aaah....a..a..aahh.. Nimemwambia afanye kazi zote zinazompasa kuzifanya. Azimalize kabla wewe haujarudi kutoka kazini ziwe tayari zimemalizika" alisema shangazi kwa kujiamini huku akiwa mkali kidogo. Hapo ndipo nilipogundua kuwa mwanamke akiwa na jambo lake, halishindwa. Mjomba aliniangalia kwa muda. Niliinamisha macho yangu chini kwa uoga.

"Kwani mimi na wewe ni nani mwenye kurudi mapema kazini?" Mojomba alimuuliza mkewe

"Mimi!" Shangazi alijibu kwa unyonge.

"Basi wewe ndo utazifanya hizo kazi, huyu amekuja hapa kutembea tu na sio kufanya kazi kazi. Unataka kumkondesha tu mtoto wa mwanamke mwenzako. Unajua ubishi wako wa tangu usiku wa jana ndio unataka kuuleta na leo, hakuna kumfanyisha kazi za kike huyu, sawa?"

"Sawa mume wangu!"

"Mjomba, chukua hii 'buku' (elfu moja) utatumia mchana. Muda wa chakula ukifika utapika chakula chako tu, nafikiri mboga mboga na samaki wa kukaanga wapo kabatini." Alisema mjomba huku akinipatia noti ya shilingi elfu moja. Mjomba alitangulia kuingia chumbani kwake akifuatiwa na shangazi kwa nyuma, shangazi aliingia huku akinikonyeza na kutabasamu. Shangazi alitoka nje na kwenda bafuni kuusafisha mwili wakati huo mjomba alishamaliza kujiandaa na kutoa pikipiki yake nje kwa ajili ya kuiandaa tayari kwa safari ya kwenda kazini. Mimi niliingia zangu chumbani kwangu. Nilitoa taulo na kubakia uchi nikiwa natafakari yale yaliyotokea. Shangazi alipotoka kuoga, aliingia chumbani kwake na alipomaliza kujiandaa alitoka mpaka nje kwa ajili ya kuondoka.

"Vipi tena?" Mjomba alimuuliza shangazi mara alipomuona shangazi anataka kurudi tena ndani.

"Aahhh...aaah nimesahau pochi yangu ndani, manake siioni!"

"Kachukue haraka, si unajua tumechelewa sana leo?"

"Itakuwa nimeisahau pale kitandani!"

"Wewe fanya haraka, maelezo ya nini sasa?"

Shangazi aliingia ndani na badala ya kuingia chumbani kwake, alikuja moja kwa moja mpaka chumbani kwangu. Nilistuka sana nilipomuona kwani nilikuwa katika dimbwi zito la mawazo. Niliinuka na kutaka kukimbilia taulo, lakini shangazi alinizuia kwa kunishika kiuno yeye akiwa nyuma yangu na kuupeleka mkono wake katika mkuki wangu na kusababisha uanze kuinuka.

"Vipi tena baby, umestuka kitu gani?" Shangazi aliniuliza

"Hivi shangazi, unafikiri mjomba akija kutukuta, itakuaje, tumenusurika padogo tu muda mchache uliopita!"

"Tatizo nimenogewa na kile ulichowahi kunipatia siku za nyuma, hivyo nimekimiss sana, ila usijali, yeye hawezi kuja huku kwa sababu hata mimi pia sikai!"

"Enhe, niambie!"

"Chukua hii hela, naomba ukanunue chakula kizuri ule, tena ule ushibe mimi nitakapoingia ni kazi tu, usije ukanifia mtoto wa watu kwa sababu ya mlo, tena hayo mambo ya kupika pika nisije nikakukuta umechoka bure kwa sababu ya kupika, nataka nikukute ukiwa na nguvu zako, umenielewa mpenzi?" Alihoji.

"Sawa hamna shida baby shangazi!" Nilijibu huku nikipokea noti ya shilingi elfu kumi kutoka kwa shangazi.

"Mwaaaaaah!" Shangazi alinibusu katika paji la uso na kuondoka akiniachia alama kama mwanamke wa kihindi anayetaka kuolewa, ambaye hupakwa sinduli katika paji la uso, lakini sinduli hii ilikuwa ya alama za midomo iliyoiva kana kwamba ilichinja kuku. Baada ya shangazi kutoka nilisikia sauti ya pikipiki ikiwa inaondoka katika eneo la nyumbani hivyo nikajua kuwa shangazi na mjomba walikuwa wanaondoka. Walipoondoka, ndipo nilipoanza kuwaza ni kwa jinsi gani uhusiano wangu na shangazi ulivyoanza.

 

 SIKU KUMI NYUMA(ijumaa)

 

Ni majira ya jioni nyumbani kwa mjomba ambapo mjomba na shangazi walikuwa wakipata chakula cha jioni kabla ya kile wanachokiitaka chakula cha funga kazi, chakula cha usiku, usiku mnene ambacho unakula mpaka mchawi akija anakasirika kwa sababu anakukuta bado upo macho.

"Ndo ninachokupendeaga mke wangu, yaani sijui unaniwekea nini katika chakula jamani, maana chakula cha leo ni kitamu sana!" Alisema mjomba.

"Na wewe hata siku moja sijakusikia kusema chakula ni kibaya"

"Sasa kama unapika chakula kizuri nisiseme?"

"Kizuri wapi, si useme tu kuwa haujui kupika!"

"Nani, mimi, hahahaha kumbe haunijui vizuri eeeeh!"

"Aaah maneno tu hayo!" Alisema shangazi huku akirembua macho yake kimahaba.

"Maneno, subiri siku moja nije kukupikia chakula hicho, utafurahi na roho yako!" Alijibu mjomba

"Nitafuahi na roho yangu kwa jinsi kitakavyokuwa hakijaiva eeeeh!"

"Khaaa, hakijaiva, subiri uone!"

"Harafu nikwambie kitu mume wangu?!" Alisema shangazi huku akimshika shika mjomba ndevu chache alizokuwa nazo maarufu kama uchebe.

 

Je ni kitu gani anachotaka kumwambia?

Usikose kufuatilia sehemu zinazokuja ili kujua zaidi.

 


Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget