Halloween Costume ideas 2015

SHANGAZI I -4


 


Sehemu ya:      NNE (4)

Mwandishi:       Aslam Khan

Mawasiliano:    0787378393

 

Ilipoishia...

 

"Ndo ninachokupendeaga mke wangu, yaani sijui unaniwekea nini katika chakula jamani, maana chakula cha leo ni kitamu sana!" Alisema mjomba.

"Na wewe hata siku moja sijakusikia kusema chakula ni kibaya"

"Sasa kama unapika chakula kizuri nisiseme?"

"Kizuri wapi, si useme tu kuwa haujui kupika!"

"Nani, mimi, hahahaha kumbe haunijui vizuri eeeeh!"

"Aaah maneno tu hayo!" Alisema shangazi huku akirembua macho yake kimahaba.

"Maneno, subiri siku moja nije kukupikia chakula hicho, utafurahi na roho yako!" Alijibu mjomba

"Nitafuahi na roho yangu kwa jinsi kitakavyokuwa hakijaiva eeeeh!"

"Khaaa, hakijaiva, subiri uone!"

"Harafu nikwambie kitu mume wangu?!" Alisema shangazi huku akimshika shika mjomba ndevu chache alizokuwa nazo maarufu kama uchebe.

 

...Songa nayo....

"Nakusikiliza mke wangu!"

"Unajua unavyochelewa kurudi usiku, mimi huwa naogopa sana mwenzio?"

"Kwa hiyo nikutafutie mke mwenzako?"

"Wewe, unataka uniletee yule mwanamke ambaye nilikufumania nae kipindi kile, sio, usinitibue!"

"Samahani mke wangu, sijamaanisha hivyo, nilikuwa nakutania tu jamani mke wangu!" Alisema mjomba huku akikisogeza kichwa cha mkewe katika kifua chake chenye nywele chache wenyewe huita bustani ya makopa kopa.

"Kwanza wake wawili utatuweza, mimi peke yangu tu unanishindwa, unaniachaga nateseka tu na nyege zangu, wewe nitafutie mtu yeyote yaani hata kama umechelewa kurudi au kama vile unavyosafiri wiki, wiki mbili mpaka mwezi, angalau awe nipo nae anipunguzie uoga hapa ndani!"

"Basi usijali mke wangu, nitakutafutia mfanya kazi za ndani akusaidie kazi!"

"Kwani nimekwambia nina kazi nyingi, kwanza nina wivu sana, siwezi kuishi na mdada wa kazi!"

"Kwa hiyo unataka nifanyaje mke wangu?"

"Kwani hakuna hata ndugu yako wa kiume tuje tukae nae kwa muda ili hata pale utakapochelewa kurudi basi niwe nakaa nae kama mlinzi!"

"Nini, ili nikichelewa kurudi uwe unakaa nae?, kukaa nae yeye badala yangu mimi, munafanya nini?" Alisema mjomba kwa ukali.

"Heeeeeh, makubwa ndo tumefikia huko, basi hata hamu sina!" Alisema shangazi huku akipiga viganja vya mikono yake.

"Hahahahah, hapana mke wangu, nakutania tu, mmmmmh usitaniwe!" Alisema mjomba na kumshika shangazi begani kwa mkono wa kushoto na kumlisha chakula.

"Umezidi bhana, kitu kidogo tu, wivu!"

"Kwa hiyo mimi nisiwe na wivu kwako?"

"Ndio!"

"Utajuaje kama nakupenda sasa?"

"Aliyekwambia wivu kama huo wa kijinga ndo mapenzi ni nani, yaani ujifanye una wivu kumbe unanisaliti kama unavyofanyaga, vitendo ndio upendo na sio kuigiza!"

"Sawa mke wangu, kuna mtoto wa dada yangu ambaye amemaliza masomo hivi karibuni, sasa hajabahatika kupata kazi, yeye yupo yupo tu. Tunaweza tukamchukua na kukaa nae kwa muda wa miezi kadhaa hivi harafu atarudi akishachoka baada ya hapo tutaangalia utaratibu mwengine!"

"Aah huyo mtoto mwenyewe sio mkorofi lakini, manake kuishi na watoto wa watu ni kazi kweli kweli!"

"Kwa ninavyomjua mimi, sio mkorofi labda aanze huku ukubwani!"

"Ukubwani, kwani ana umri gani?"

"Kama miaka ishirini na tatu hivi!"

"Mmmh!" Shangazi aliguna.

"Vipi tena, mbona unaguna?"

"Hamna, sio muhuni kweli?"

"Aaah nahisi, ila sina uhakika!"

"Sawa!"

"Sawa, mimi natangulia, utanikuta chumbani!"

"Sasa si ungenisubiria na mimi tu kabisa!"

"Leo nimechoka sana, ule mpango nitaufanya kesho?"

"Mpango gani tena?"

"Umeshakuwa msahaulifu tena mke wangu?"

"Wewe niambie tu jamani!" Alisema shangazi huku akiondoa vyombo mezani.

"Kwani tumeongea kitu gani?"

"Kitu gani?"

"Unajua unananiudhi sana wewe!" Alisema mjomba huku akiwa amesimama katika mlango wa kuingilia chumbani kwake.

"Kwa hiyo kukuambia uniambie ndio imekuwa nongwa sio?" Alisema shangazi huku akiwa tayari ameshamaliza kuondosha vyombo mezani na kusafisha vizuri. Alimfuata mjomba pale mlangoni.

"Nilikuambia unisubiri ili tukalale wote lakini ukajifanya mkaidi, kwa hiyo mimi nilitaka unisubiri tu. Mume lazima amjali mkewe bwana. Na leo nataka nikupe mambo mazuri sana, manake siku zote hizi nimevumilia najua leo utanitoa." Alisema shangazi huku akimkumbatia mumewe.

"Nenda kazime taa sebuleni kwanza mke wangu!"

"Aah unataka kunikimbia eeeh, twende tukazime wote!"

"Kwa hiyo ndo umetumia mbinu hiyo ili upate kunikalisha hapa ili nikusubiri, sio?"

"Mmmh" shangazi aliitikia kwa sauti ya kudeka iliyojaa mahaba. Wote walicheka. Walienda kuzima taa na kurudi chumbani kwa ajili ya kujipumzisha huku wakitembea kwa kuyumba yumba kana kwamba walikuwa wamelewa huku wakijikwaa mara kadhaa. Waliingia chumbani.

"Mbona unakimbilia kulala, nimekwambia leo nataka, na nina usongo sana!"

"Silali mke wangu, najiandaa tu"

Shangazi alimuangalia mjomba kwa muda, alimrukia na kuanza kuitafuna midomo ya mjomba kwa fujo. Alimpapasa mwili mzima huku mjomba akitoa ushirikiano mdogo. Shangazi alikuja kustuka pale alipoingiza mkono ndani ya boksa, alistuka sana hakuamini macho yake kwa kile alichokiona.

 

Je alikiona kitu gani?

 


Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget