Shangazi
Sehemu ya KWANZA.
Mwandishi: ASLAM KHAN
Mawasiliano:
0627 676104
0787 378393
0768965020
"Aziza tutaenda wote kuifanya hiyo kazi" nilisema
huku nikijribu kuinuka
"Abdam.....abdam!"
"Tulia kwanza unaitwa" mzee aliniambia
"Nani anayeniita?" Nilimuuliza
"Muangalie vizuri anayekuita!"
"Mimi mbona naona?"
"Wewe hauoni, bado kipofu, angalia vizuri
utamuona!"
"Abdam..abdam!" Yule mtu aliendelea kuita.
Nilipojaribu kuangalia vizuri na taratibu sura ya yule aliyekuwa ananiita
ilianza kuonekana vizuri, alikuwa shangazi.
"Vipi, umeamkaje?" Shangazi aliniuliza lakini
sikumjibu kitu. Niliangalia kila upande na kujiona kuwa nipo kitandani, hapo
ndipo nilipogundua kuwa ile ilikuwa ni ndoto. Nilijaribu kuitafakari sana ile
ndoto lakini sikupata maana yake kabisa.
" umenikasirikia kwa sababu nimekutoa kwa aziza?"
Shangazi aliniuliza huku akitabasamu
"Hamna shangazi, ni ndoto tu"
"Hahahah bakora yako ni hatari, inachapa hadi katika
ndoto, una hatari sana wewe"
" aaah kawaida tu, si unajua nimeshakuwa mtu mzima, kwa
hiyo siku moja moja kumwaga maji kitandani sio mbaya!"
"Mmh haya, mimi utanikuta nje!" Alisema shangazi
na kutoka nje ya chumba changu.
Niliendelea kuitafakari tena ile ndoto lakini bado nilikosa
majibu yake, niliamua kuachana nayo.
Ilikuwa ni siku ya jumatatu iliyo tulivu. Kwa wale
waliobahatika kuajiliwa, walikuwa wakielekea katika sehemu zao ili kuwajibika
na ujenzi wa taifa. Wakati wengi wao wakienda kazini, hali ilikuwa ni tofauti
kwa baadhi ya vijana kwani ndio kwanza walikuwa wakiwaza kwenda kukaa katika
vijiwe. Wengi wao wakiwa wanapanga jinsi ya kuongeza mbinu na ujuzi wa kuwaibia
wananchi.
Nilitandika kitanda changu vizuri na kufanya usafi katika
sakafu kisha nikaanza kupanga panga vitu vizuri viwe katika mpangilio mwengine.
Nilipomaliza nilichukua mswaki kisha kuingia bafuni kwa niaba ya kuusafisha
mwili wangu kutokana na shombo la samaki aina ya mkunga.
"Aaah mjomba, umeshaamka?" Alikuwa ni mjomba baada
ya kukutana nae ukumbini mara baada ya kutoka bafuni, nae alikuwa akielekea
bafuni kwa ajili ya kuusafisha mwili na kujiandaa kwenda kazini.
"Ndio, nimeamka muda mrefu tu!"
"Vipi maendeleo ya homa?"
"Kwa kweli, namshukuru mungu, naweza kusema nimepona
kabisa!"
"Sawa, naenda bafuni, nikirudi, tutaongea!"
"Sawa mjomba!"
Mjomba aliingia bafuni kwa ajili ya kuoga.
"Habari za asubuhi?" Shangazi alinisalimia.
"Mh shangazi, si ulikuja chumbani kwangu,
haujanisalimia?"
"Mimi nilikuja kumuangalia huyo akiwa hajaamka anakuaje
nimemmiss sana eti!"
"Hebu tuachane na hayo, unajua wewe ni msomi sana
eti?"
"Enhe, kwa nini unaniuliza hivyo?"
"Nataka kujua kwani asubuhi zipo ngapi?"
"Asubuhi zipi sasa?" Aliuliza shangazi kwa
mshangao. Ulikuwa ni mwendo wa swali kwa swali badala ya swali kwa jibu.
"Aah umeniuliza habari za asubuhi ndio maana!"
"Oooh umeanza utani wako, haya habari ya asubuhi?"
Alisema shangazi huku akitabasamu
"Nzuri tu, umeamka salama wewe?"
"Mimi sijambo hofu kwako tu?"
"Mimi nipo vizuri!"
"Naona.........!"
"Kumbe shangazi ukitoka kuamka ndo unakuwa mrembo
hivyo?" Nilimtania huku nikimpiga shangazi katika makalio yake makubwa
yaliyozuiliwa na khanga moja tu.
"Umeshaanza hivyo, ndio maana mjomba wako huwa hapendi
atukute tumekaa pamoja kama hivi!" Alisema shangazi ambaye kiumri alikuwa
amenipita miaka mitatu.
"Hapa upo na mimi, yeye anahusika kwa namna gani?"
Nilisema huku nikimuangalia shangazi ambaye kutokana na umbo lake lililozuiliwa
na khanga moja lilimfanya aonekane ni mrembo zaidi. Kwa sababu alikuwa anafanya
usafi, udenda ulikuwa unanitoka kutokana na vile alivyokuwa anainama kwa ajili
ya kudeki sakafu. Mambo yalikuwa yanaanza kuharibika. Tayari nguo yangu ya
ndani ilikuwa inapambana ili isitobolewe na mkuki wa mmasai aliyekuwa na hasira
za kupitiliza.
Nini kitatokea.......
Post a Comment